Tozii Nyambii
Senior Member
- Apr 1, 2017
- 144
- 77
Habari zenu wana JF I hope Eid yenu imeenda poa,
Mimi nina tatizo moja yaani siwezi kushauriwa kitu na mwanamke hata kama nimekosea nakuwa too harsh naona kama kanidharau.
Yaani inshort mimi mwanamke hawezi mnishauri kitu nikamsikiliza hata akinambia tuu jambo namkubalia ila sitekelezi na sio kama siwapendi ni hali ambayo inatokega automatically.
Wakuu hii hali imenisababisha nishindwe kabisa kudumu kwenye mahusiano hii hali sipendi naomba msaada niweze kuwaacha na niache kudharau wanawake jamani naichukia hii hali.