Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Kiongozi we ni daktari lakini 🤔
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu

njoo unijibu maswali yangu inbox nijue nskusaidiaje
 
Duuuuuh
 
Mtu una jiita betting machine nguvu utatoa wapi..?! N'way ni tatizo la ukubwani au since umezaliwa..?!

Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
 
Hiyo MIlioni akupe wewe au ampe huyo mwanamke mana sasa huu ni wizi tu umuibie kijana wa watu tena bwana mdogo ana miaka 24!! umchukulie mil kisa nini>?? dogo nenda hospital achana na haya majitu maongo..
 
Aiseee kama ni kweli mbona hauitangazi dawa? Ndiyo kwanza naona leo tangazo lako au kama kuna sehemu ulishawahi kutangaza ,iwe facebook ,insta,tiktok au banners mitaani ebu screenshpot/piga picha tuone ,nikupe benefit of doubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…