Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
chief-mkwawa asante ndo nafanyia kazi ushauri ila wa kwanza imebidi nicheke kumbe techo haina lolote ilikuwa bwebwe tu za kibiashara
kweli p3 zengwe tupu,nimejaribu kufunga run appl ktk task manager iliyopo ktk avg ant virus ikaonekana kweli app zote zimefungwa lakn niliporudi ktk runing app ninakuta zote zinapiga mzigo kama kawaida,kwanza imebidi nicheke mwenyewe tehee tehe teheeeei!.kweli suluhisho ni kununua simu yenye internal memory kubwa hata kama ni hiyo 7 inayosifiwa hadi kulinganishwa na galaxy s4
mungu mkubwa nilifanya research kati ya Galax na Teckno mp3 baada ya kuona kuna mtu anatangaza kuiuza kupitia jf tena alikua amenunua siku chache nikahisi majanga.
Nakaenda opposite na JMO plaza kuna Teckno shop nikapata somo kwa dk 11
nikawapigia masela wanipe ushauri ,mwisho nikaingia
JMO plaza nikadaka pocket yangu nilioizoea nikaiacha Teckno MP3 yenye offer ya cover,8gb memory card na protector
me natumia tecno p3 na naifurahiaaa sana!!!
me natumia tecno p3 na naifurahiaaa sana!!!
kweli umenena mkuu nami hapa najiandaa kuinyaka tecno f7 maana specification zake zinatisha na nimeikubaliHii mashine A+ mchina alitulia sana wakati wa kuitengeneza !!
Mi nlishahangaika sana na mi lumia sijui nini lakini hapa nimefika na ntanyoka nao tecno mwanzo mwisho kila toleo, japo kuna watu wanaponda bidhaa za hawa jamaa,ila najua soon tutakuwa nao kwenye boti moja.
Nafikiri matoleo yajayo tutapata na za line moja.