Msaada simu yangu tecno p3

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
Wana jf naombeni msaada hii simu ina sd card 8gb lakini ninapodownload application hata mb 50 tu naambiwa ?'low memory". Na kweli inakuwa slow kikwelikweli hadi ninapoziondoa simu inarudi ktk hali yake ya kawaida.wadau nipeni msaada nifanyeje!
 
Simu ina Memory mbili kuna internal ambayo ndiyo inatumika ku run critical applications na external in this case hiyo SD card. Chakufanya ni kuwa zile applications ambazo huzitumii mara kwa mara zi move kwenye SD card, kama ni android nenda kwenye settings, apps, then chagua app unayoitaka chini kulia utaona move to storage. Inayojaaa mapema ni internal ambayo ndiyo iko faster kuliko external.

Angalia pia RAM kama hiyo haitoshi. Huenda simu inamaanisha ram inaisha. Kwa msingi huo disable applications zinazowaka ukiwasha tu simu. Usizifute ila uziweke kwenye sleep mode na avoid kufungua mavitu mengiiiii kwa wakati mmoja. Mfano utakuta mtu ana Whatsapp, Viber, Skype, Tango nk vyote kwa wakati mmoja. viko installed. Fungua whatsapp pekee na mtu akikutumia msg labda kwenye whatsapp kuwa muongeee then unawasha viber au skype e.t.c
I guess you get my drift.......................
 
Mkuu,simu ina internal memory ya almost 100MB pekee. So jaribu kubadilisha apps storage.
 
nashukuru kwa elimu nzuri sana mliyonipatia coz nilianza kuichukia hii simu
 
nashukuru kwa elimu nzuri sana mliyonipatia coz nilianza kuichukia hii misimu
 
Phantom A+ ndio mpango mzima Mimi wala sina shida
 
Town zipo kwa laki 4.unaweza Google na ukasoma spec sake.iko poa
 
jamani ninaposhindwa ni pale ninapoinstall app ktk sd card lakini inayojaa ni internak,nifanyeje hapo wadau?
 
jamani ninaposhindwa ni
pale ninapoinstall app ktk sd
card lakini inayojaa ni
internal,nifanyeje hapo
wadau?
 
jamani ninaposhindwa ni
pale ninapoinstall app ktk sd
card lakini inayojaa ni
internal,nifanyeje hapo
wadau?

Na mimi tatizo ni hilohilo,nimefuata maelezo ya hapo juu lakin hola, nimebadili internal kwenda sd inagoma
 
me natumia p3 now mwanzoni ilinisumbua sanaaa but baada ya kujua jinsi ya ku manage application now mambo safii!!!
 
me natumia p3 now mwanzoni ilinisumbua sanaaa but baada ya kujua jinsi ya ku manage application now mambo safii!!!

kiongozi toa elimu wenzio tunasugua vichwa na hii p3
!nashangaa kumbe tupo wengi.tunasubiri maarifa toka kwako mkuu
 
hivi betri zake kwa dar zinapatikana duka lipi maana hi
zi smartphone chaji ni majanga tu pamoja na kuisifia sana ktk specification zake eti inakaa na chaji siku5 lakn wapi!
 
me natumia p3 now mwanzoni ilinisumbua sanaaa but baada ya kujua jinsi ya ku manage application now mambo safii!!!

kiongozi toa elimu wenzio tunasugua vichwa na hii p3
!nashangaa kumbe tupo wengi.tunasubiri maarifa toka kwako mkuu
 
1. best solution ni kuuza na kununua nyengine.

2. hata ukihamisha apps kwenda memory card launcher itakaa kwenye phone memory na data ndo zitaenda kwenye memory card, launcher inatumia kb100 hadi mb10 inategemea na aina ya app so haisaidii sana still phone memory itajaa.

3. hamisha media file zote toka phone memory kama miziki, video na picha pamoja na documents zipeleke kwenye memory card

4. clear cache za baadhi ya apps kupata memory zaidi kuclear cAche nenda setting halafu app manager halafu utaclick app husika kuclear

5. toa apps ambazo hazina maana acha app chache muhimu
 
chief-mkwawa asante ndo nafanyia kazi ushauri ila wa kwanza imebidi nicheke kumbe techo haina lolote ilikuwa bwebwe tu za kibiashara
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…