Ni simple sana mkuu sema unajicomplicate tu na kujitia woga , chances za kupoteza pesa yako kwa seller nitakao ku recommend ni very slim to none .
1:Etotalk, hawa jamaa wana simu nyingi kwa bei ya wastani sana , zamani walikuwa wanaship kwa dhl na Singapore post , lkn naona siku hizi wanaship kwa dhl tu .
2. Gearbest , hawa wana simu popular bei za wastani pia , tu kwa muda huu hiyo xiaomi note 4 ni very popular na ipo hapo , hawa wana option mbili za kuship , sweden post na dhl, , swedpost delivery huwa ni kuanzia siku kumi toka seller alipo ship, ila kama una bahati yako mzigo unaweza kufika mapema zaidi, ma mzigo utaenda chukulia posta.
3 Aliexpress , hapa ni gulio , seller wapo wengi sana na unachotakiwa kuangalia ni reputation ya seller ,pamoja na reviews za previous customers, unaposearch item yeyote , top results ya hiyo item mara nyingi ndo wanakuwa wazuri kununua kwao , tatizo linakuja china post hawaship item zozote zenye betri ndani zikiwemo smartphones ,ukichagua shipping by post inabidi waupeleke mzigo wako singapore post ili wao ndo wakuletee, hapa ndo unaweza kusubiri sana mzigo wako lkn utafika tu.
Huko kwenye hayo masoko ninayokwambia kuna simu zina specification za kufa mtu na hazina majina makubwa , na wala hutoziona bongo kwenye maduka yetu, unless uwe ni mtu ambaye unapenda kutumia vitu vyenye majina makubwa , samsung and the likes , wauzaji simu wa kwetu wanaagiza simu kutokana na mahitaji ya watu , sisi bado tuko kwnye stage za mwanzo sana , wengi wetu tunahitaji tu simu za touch screen zenye what's up na facebook , lkn ukitaka simunyenye kuperform inabidi ujichange sana kwa hapa bongo kununua , maana zinaletwa na giant companies like lg na samsung
Sent using
Jamii Forums mobile app