Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Shukrani sana.Chukua xiomi redmi 4x check aliexpres then mtafute mwalimu akununulie, yangu ipo on the way, mchek www.v.ht/buy4me
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kiongozi, nikikosa kabisa kupata hapa Bongo kwetu, naweza kukutafuta walau unitoe ushamba kidogo namna ya kufanya hayo manunuzi.Awe mwangalifu kwenye kuchagua soc, redme note 4x inakuja na soc aina mbili mediatec na snapdragon 625, the best kwa kukaa na chaji ni sd625. Niliagiza mwezi wa sita kutoka gearbest , ilinicost kama laki 380000, na ilichukua siku tisa tu kunifikia kwa njia ya posta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, ninaifanyia kazi.cheki hii
BL7000 BL series - DOOGEE
Hiyo Tekno Ni Toleo Jipya Kabisaaa Ambapo Imeizizidi Mpaka Simu Za Galax KiuwezoNashukuru sana, ila nahitaji kuachana na TECNO, ndomaana nimejitahidi kujichanga hadi kufikia 450k.
Naifahamu, nimeshaitumia kwa miezi 4 lakini nimeamua nimpatie shemeji yenu tu.Hiyo Tekno Ni Toleo Jipya Kabisaaa Ambapo Imeizizidi Mpaka Simu Za Galax Kiuwezo
Hiyo Tekno Ni Toleo Jipya Kabisaaa Ambapo Imeizizidi Mpaka Simu Za Galax Kiuwezo
Samahanini ndugu zangu kwa kuwachosha.
Ikinilazimu sana naweza kufika Tsh.500,000/= ili nipate simu mzuri hapahapa Bongo lkn pia kwa haraka zaidi kuliko kuisubiri kutoka nje kwa kuzingatia sifa tajwa hapo juu, bila kusahau fingerprint sensor.
Je, kwa Laki 5 naweza kupata Simu ipi, Brand ipi mzuri ukiondoa TECNO and its delivatives.
Hata kama ana haraka sio issue anaweza kuchagua shipping method kuwa dhl, ndani ya siku tatu tu simu iko dar, ila ajiandae na kodi .Sijui uharaka wako, ila ungekuwa na subira ungepata kitu kizuri toka Xiaomi redmi 4. Hutojutia kuwa na hiyo simu, tena kwa bei tajwa. Ila kama una haraka, go for J7 prime.
Ni simple sana mkuu sema unajicomplicate tu na kujitia woga , chances za kupoteza pesa yako kwa seller nitakao ku recommend ni very slim to none .Nashukuru sana kiongozi, nikikosa kabisa kupata hapa Bongo kwetu, naweza kukutafuta walau unitoe ushamba kidogo namna ya kufanya hayo manunuzi.
Somo zuri sema inabidi mtu kama mimi nijisajili kwanza kufanya manunuzi online ndipo nianze kufanya hiyo kitu lakini pia mkuu naona hiyo simu ina infrared port sijui je ni nini hikoNi simple sana mkuu sema unajicomplicate tu na kujitia woga , chances za kupoteza pesa yako kwa seller nitakao ku recommend ni very slim to none .
1:Etotalk, hawa jamaa wana simu nyingi kwa bei ya wastani sana , zamani walikuwa wanaship kwa dhl na Singapore post , lkn naona siku hizi wanaship kwa dhl tu .
2. Gearbest , hawa wana simu popular bei za wastani pia , tu kwa muda huu hiyo xiaomi note 4 ni very popular na ipo hapo , hawa wana option mbili za kuship , sweden post na dhl, , swedpost delivery huwa ni kuanzia siku kumi toka seller alipo ship, ila kama una bahati yako mzigo unaweza kufika mapema zaidi, ma mzigo utaenda chukulia posta.
3 Aliexpress , hapa ni gulio , seller wapo wengi sana na unachotakiwa kuangalia ni reputation ya seller ,pamoja na reviews za previous customers, unaposearch item yeyote , top results ya hiyo item mara nyingi ndo wanakuwa wazuri kununua kwao , tatizo linakuja china post hawaship item zozote zenye betri ndani zikiwemo smartphones ,ukichagua shipping by post inabidi waupeleke mzigo wako singapore post ili wao ndo wakuletee, hapa ndo unaweza kusubiri sana mzigo wako lkn utafika tu.
Huko kwenye hayo masoko ninayokwambia kuna simu zina specification za kufa mtu na hazina majina makubwa , na wala hutoziona bongo kwenye maduka yetu, unless uwe ni mtu ambaye unapenda kutumia vitu vyenye majina makubwa , samsung and the likes , wauzaji simu wa kwetu wanaagiza simu kutokana na mahitaji ya watu , sisi bado tuko kwnye stage za mwanzo sana , wengi wetu tunahitaji tu simu za touch screen zenye what's up na facebook , lkn ukitaka simunyenye kuperform inabidi ujichange sana kwa hapa bongo kununua , maana zinaletwa na giant companies like lg na samsung
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo mi si Complex ila ninaweza kukupa mawili matatu,Mkuu complex hebu tujuzeni kwa nyingi mnaotumia simu za xiaomi zina nn cha ziada suala la chaji limekaaje je kweli fast charging hebu tupieni ka screen short kuprove mwonekano wake kwa ndani kwan watu wanasema eti zinamwonekano kama faili za iphone je uimara wa kioo ukoje
Nakushukuru sana kiongozi. Angalau umenitoa tongotongo za machoni kuhusu masuala ya kununua mitandaoni.Ni simple sana mkuu sema unajicomplicate tu na kujitia woga , chances za kupoteza pesa yako kwa seller nitakao ku recommend ni very slim to none .
1:Etotalk, hawa jamaa wana simu nyingi kwa bei ya wastani sana , zamani walikuwa wanaship kwa dhl na Singapore post , lkn naona siku hizi wanaship kwa dhl tu .
2. Gearbest , hawa wana simu popular bei za wastani pia , tu kwa muda huu hiyo xiaomi note 4 ni very popular na ipo hapo , hawa wana option mbili za kuship , sweden post na dhl, , swedpost delivery huwa ni kuanzia siku kumi toka seller alipo ship, ila kama una bahati yako mzigo unaweza kufika mapema zaidi, ma mzigo utaenda chukulia posta.
3 Aliexpress , hapa ni gulio , seller wapo wengi sana na unachotakiwa kuangalia ni reputation ya seller ,pamoja na reviews za previous customers, unaposearch item yeyote , top results ya hiyo item mara nyingi ndo wanakuwa wazuri kununua kwao , tatizo linakuja china post hawaship item zozote zenye betri ndani zikiwemo smartphones ,ukichagua shipping by post inabidi waupeleke mzigo wako singapore post ili wao ndo wakuletee, hapa ndo unaweza kusubiri sana mzigo wako lkn utafika tu.
Huko kwenye hayo masoko ninayokwambia kuna simu zina specification za kufa mtu na hazina majina makubwa , na wala hutoziona bongo kwenye maduka yetu, unless uwe ni mtu ambaye unapenda kutumia vitu vyenye majina makubwa , samsung and the likes , wauzaji simu wa kwetu wanaagiza simu kutokana na mahitaji ya watu , sisi bado tuko kwnye stage za mwanzo sana , wengi wetu tunahitaji tu simu za touch screen zenye what's up na facebook , lkn ukitaka simunyenye kuperform inabidi ujichange sana kwa hapa bongo kununua , maana zinaletwa na giant companies like lg na samsung
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutojali hebu niwekee screen short mkuu najifunza kitu na ninataka kununua simu so hapa napata mwangaza mkubwa kuhusu xiaomi na pia hio update mpya ni OTA (on the air) Hio miu 9 auJapo mi si Complex ila ninaweza kukupa mawili matatu,
Natumia xiaomi note 4x global, snapdragon 625 , kwa chaji inajitahidi sana , kioo ni kizuri ila si imara , hii kitu hata uangalie video kwa masaa manne , huwa haipati joto , very fast gps kwa sisi tunaotumia sana google maps, sio nzito sana @165g. Battery ni 4100 mah, Call quality ni super ,.muonekano wa files inategemea aina ya theme utakayopendelea , yes ipo theme ya iphone , lkn mi huwa napendelea ile yao ya xiaomi, nimeupgrade juzi kuja miui9 kuna feature inaitwa split screen, unaweza ukafanya mambo mawili kwa wakati.mmoja , hapa na reply hii thread huku naangalia youtube kwenye same screen,
Lkn sio xiaomi tu kuna moja nilikuwa nayo leeco coolpad , hii sd 650 battery 4060 @ 175 g, nayo ilikuwa bomba sana ,nayo hata uitumie vipi hai heat , leeco wana community yao kama apple , kuna option za kjdownload music kutoka kwenye server zao , sikujua ubora wake kwa kuwa nilikaa nayo mwezi tu kabla bodaboda hajanitumbukiza mtaroni na simu ikapasuka kioo,
Sent using Jamii Forums mobile app
K
Kama hutojali hebu niwekee screen short mkuu najifunza kitu na ninataka kununua simu so hapa napata mwangaza mkubwa kuhusu xiaomi na pia hio update mpya ni OTA (on the air) Hio miu 9 au