MSAADA: Simu nzuri kwa Bajeti ya 400,000 hadi 450,000

Kama uliisoma vizuri post yangu utaelewa nilichokimaanisha,sikumshauri wala kumlazimisha mtu kwenda kununua Infinix ila nilishauri kama mtu yeyote anavyoweza kushauri humu that's why nikamwambia awasikilize zaidi wataalam huko juu..hatuwezi kufanana,wewe umepewa uwezo wa kumiliki IPhone 6+ na unaipenda unavyojua wewe na mwengine amepewa uwezo wa kumiliki Tecno na anaipenda anavyojua yeye mwengine Itel mwengine Huawei so on!na inawezekana anao uwezo wa kumiliki vitu vikubwa zaidi yako wewe so jaribu kuheshimu mawazo ya wenzako sio kila wakati ni wakati wa kudharau vya wenzio.hao wenye Tecno hawakuziokota wamezinunua kwa pesa zao vile vile elewa kila mtu ana chaguo lake.
Tatizo vijana wakileo maisha wamewekeza kwenye anasa za kijinga ili apate sifa mtaani wakat hana uhakik wa kula wala kunywa au nitegemezi kwa wazazi wakati ana umri zaid ya 30yrs, ndio maana ninkawaida kumkuta kijn au bint n simu ya 700,000/ lakin simu hiyo ina deni la nipige tafu au niwezeshe la mwezi mzima kama sio miezi mitatu zaid na hana uwezo wa kulipa deni hilo sababu hana kazi, kapesa kidogo anakopewa anawekeza kwenye simu na mavazi na starehe za hovyo hovyo za mashindano.
 
Somo lako linanifundisha nini ndugu
 
-note 4 inafit kila neno ulilosema kasoro nougat, ila kwa custom rom inaenda hadi 7,
-xiaomi redmi note 4 inafit kila sehemu. upatikanaji mgumu
-lg v10 inafit kila sehemu, haikai sana na chaji
-nexus 6p
Mkuu, gharama ya Galaxy Note 5 ipoje madukani, kwani sijawahi kutumia Samsung kabisa labda hii nilokuwanayo B310E na ningependa niitumie hii Simu baada ya kukosa hizi nyingine.
Au toleo lipi la Samsung ni zuri na linaweza kufiti kwa Tsh. 550k - 600k?
Au simu nyingine yoyote ambayo upatikanaji wake ni rahisi na ni mzuri kwa gharama hiyo ya 550k - 600k?
Na vp kuhusu hii NEXUS 6P upatikanaji wake upoje kwa hapa Tz? Bei yake ipoje kwa 64GB na 128GB?
 
Mkuu, gharama ya Galaxy Note 5 ipoje madukani, kwani sijawahi kutumia Samsung kabisa labda hii nilokuwanayo B310E na ningependa niitumie hii Simu baada ya kukosa hizi nyingine.
Au toleo lipi la Samsung ni zuri na linaweza kufiti kwa Tsh. 550k - 600k?
Au simu nyingine yoyote ambayo upatikanaji wake ni rahisi na ni mzuri kwa gharama hiyo ya 550k - 600k?
hizo ni budget za s6, note 5, s6 edge plus, A7, A5, C7 etc

ila mkuu ufahamu S series zote kuanzia S6 na note series zote kuanzia note 5 ni simu ambazo zinatumia material ambayo ni rahisi kuvunjika, yaani glass. hivyo zinataka mtu mtunzaji, kama wewe ni mtunzaji note 5 ni simu nzuri.

kama hutaki hizo zenye glass kuna j series, kwa budget hio labda j series ya mwaka 2017.
 
Akili yangu yote nawaza kumiliki samsung galaxy j5 prime ndo naona simu bora kwangu,na yenye ubora
 
hizo ni budget za s6, note 5, s6 edge plus, A7, A5, C7 etc

ila mkuu ufahamu S series zote kuanzia S6 na note series zote kuanzia note 5 ni simu ambazo zinatumia material ambayo ni rahisi kuvunjika, yaani glass. hivyo zinataka mtu mtunzaji, kama wewe ni mtunzaji note 5 ni simu nzuri.

kama hutaki hizo zenye glass kuna j series, kwa budget hio labda j series ya mwaka 2017.
Nashukuru sana kiongozi,
Kwahiyo kwa 600k napata note 5 mpya au mtumba?
 
zinakuwa mpya mkuu lakini sio kivile sababu ni simu ya 2015. utaikuta na box na kila kitu ila itakuwa haijatengenezwa 2017, ilitengenezwa 2015 then ikakaa mahala fulani mpaka sasa hivi ndio ikaja kwako.
 
Nunua simu ya bei ghalo kama una ulazima wa kuperform heavy tasks kwenye simu. Kama ni jf, Facebook, whatsapp ya 150k inatosha kabisa unaiweka na memory card ya elfu 10
 
Kuna brand ya Nubia spec ni android 7.0, ram 3gb int. Storage 64 gb bei ni 380.000
IMG-20170829-WA0000.jpg
IMG-20170829-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom