MSAADA: Simu nzuri kwa Bajeti ya 400,000 hadi 450,000

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Habari za Sikukuu waungwana,

Naomba ushauri wenu, bajeti yangu ni hiyo tajwa hapo juu (Tsh.400,000 - 450,000). Nahitaji kununua simu yenye specifications mzuri, Android 7, atleast 32GB storage, atleast 3GB RAM.
Huwa napendele zaidi 5.5" au 6 inch display. Na sifa nyinginezo muhimu katika simu.

Naomba kuwasilisha.
 
Chukua xiomi redmi 4x check aliexpres then mtafute mwalimu akununulie, yangu ipo on the way, mchek www.v.ht/buy4me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan wakuu humu simu yangu huwa inatatizo la kutopokea txt kutoka simu nyingine mpaka ni restore ndo inakubali lakn after several days tatzo hurudi tena, hili tatzo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua xiomi redmi 4x check aliexpres then mtafute mwalimu akununulie, yangu ipo on the way, mchek www.v.ht/buy4me

Sent using Jamii Forums mobile app
Awe mwangalifu kwenye kuchagua soc, redme note 4x inakuja na soc aina mbili mediatec na snapdragon 625, the best kwa kukaa na chaji ni sd625. Niliagiza mwezi wa sita kutoka gearbest , ilinicost kama laki 380000, na ilichukua siku tisa tu kunifikia kwa njia ya posta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Sikukuu waungwana,

Naomba ushauri wenu, bajeti yangu ni hiyo tajwa hapo juu (Tsh.400,000 - 450,000). Nahitaji kununua simu yenye specifications mzuri, Android 7, atleast 32GB storage, atleast 3GB RAM.
Huwa napendele zaidi 5.5" au 6 inch display. Na sifa nyinginezo muhimu katika simu.

Naomba kuwasilisha.
Mkuu kama unaweza kuagiza online hiyo pesa yako inatosha kabisa kupata redme note 4x global, sd 625, hutojuta
Kama ukiongezea kidogo unaewza pata lenovo p2 nafikiri kwa rating za gsm arena ninsimubya kwanza kutunza chaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe mwangalifu kwenye kuchagua soc, redme note 4x inakuja na soc aina mbili mediatec na snapdragon 625, the best kwa kukaa na chaji ni sd625. Niliagiza mwezi wa sita kutoka gearbest , ilinicost kama laki 380000, na ilichukua siku tisa tu kunifikia kwa njia ya posta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu habari hebu nicheki wasap kwa nambahii 0621038900 kuna jambo tuzungumze
 
Hata infinix nao sio wabaya sana,ila mie sio mtaalam sana wa haya mambo cha kufanya wasikilize wajuzi hapo juu.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usichukue tu zile za sh 20000 za kichina zipo techno na chenchi inabaki unapenda starehe ee

Bwana ataongoza safari
 
Hata infinix nao sio wabaya sana,ila mie sio mtaalam sana wa haya mambo cha kufanya wasikilize wajuzi hapo juu.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Pumba kabisa. Infinix si ndugu zake tecno na itel hakuna simu hapo. Sim za MTK sio simu kabisa. M
Jamaa ana hela nyingi sugest international rank mobile phones sio unataja infix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom