Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,264
- 44,393
nani anauza?Kuna brand ya Nubia spec ni android 7.0, ram 3gb int. Storage 64 gb bei ni 380.000View attachment 589933View attachment 589934
nani anauza?Kuna brand ya Nubia spec ni android 7.0, ram 3gb int. Storage 64 gb bei ni 380.000View attachment 589933View attachment 589934
Mkuu huyu Jamaa ndio aliyeniunganisha na mtu flani hivi nikapata hio xiaomi ninayotumia nw kwa bei kitonganani anauza?
NIELEKEZE Nami nawezaje kuupdate kwenda miu9nw Nishapata simu yangu hapaK
Kama hutojali hebu niwekee screen short mkuu najifunza kitu na ninataka kununua simu so hapa napata mwangaza mkubwa kuhusu xiaomi na pia hio update mpya ni OTA (on the air) Hio miu 9 au
Kuna hizi hapa, naomba mnisaidie kuchagua tafadhari:-hizo ni budget za s6, note 5, s6 edge plus, A7, A5, C7 etc
ila mkuu ufahamu S series zote kuanzia S6 na note series zote kuanzia note 5 ni simu ambazo zinatumia material ambayo ni rahisi kuvunjika, yaani glass. hivyo zinataka mtu mtunzaji, kama wewe ni mtunzaji note 5 ni simu nzuri.
kama hutaki hizo zenye glass kuna j series, kwa budget hio labda j series ya mwaka 2017.
Nashukuru sana kiongozi,
Kwahiyo kwa 600k napata note 5 mpya au mtumba?
mkuu yaani hapo hakuna hata kuzicompare mate 8 kila idara ni bora kushinda hao uliowataja, kama unaipata kwa bei yako nunua hio.Kuna hizi hapa, naomba mnisaidie kuchagua tafadhari:-
1. Xiaomi Redmi Note 4x
2. Huawei Mate 8
3. ZTE Nubia M2
4. Galaxy note 5