MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,817
- 5,817
Tafuta Chuo cha jamii (Folk Development Centre - FDC) kilicho karibu na eneo lako.
Dakawa, Morogoro kuna centre ya mafunzo ya kilimo kwa technology ya wachina. Kimefunguliwa mwaka jana, ila sijajua kama wameanza kutoa mafunzo.
ahsante nitajitahidi nikapaone ili nipate details za kutosha.
Mkuu hongera sana kwa hili,
Mkuu Mimi naamimi mtaani kuna elimunzuri sana yakilimo kuliko vyuoni huko, jiulize ni wangapi waenye degree au diploma zakilimo walio dhubutu kulima, utakuta hakuna waote wako mjini kisa mtaji, mkuumimi sioni haja ya kupoteza mda wako kwenda chuo kusoma theory za kilimo.
- Mtaani kuna elimu ya kutosha yakilima na hata walio fanikiwa kwenye kilimo huku bongo ukiwauliza hakuna hatammoja mwenye certficate ya kilimo,
- Kuna website moja ya kenya ina elimu nzuri sanaya kilimo ngoja niifuatilie nitakuwekea hapa itakusaidia sana
Wasomi kilimo tz eo nmb wameajiriwa kazi za fedha
Tambua wakulima waliofanikiwa tz elimu ya kilimo wameipata kwa kuthubutu shambami na kwa ushauri wa extensiom officers ambao wengi wao wamehitimu ngazi ya diploma ya kilimo ushauri wangu anza kidogokidogo then ongeza capacity kila msimu mpya