Sijawahi kuwa na zaidi ya milioni 10

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Mimi ni kijana ambae bado kiumri ni mdogo pia muumini mkubwa sana wa HUSTLER, Huwa naamini katika kukua kidogo kidogo, Si muumini wa kulala Maskini na kuamka Tajiri. Naamini katika "Kidogo kidogo hujaza kibaba.

Namshukuru sana Mungu katika umri wangu mdogo nimeweza.

Kupita mitihani mingi na migumu na yenye kunifunza, huwa nikikutana na kijana anapambana najihisi tuko wote katika tanuru hili ya Mapambani pia nashukuru nimeweza kupitia tanuru hili la ajira ingawa kuna muda utafika nitoke na kujiajiri, Kuna mengi nimeyaona kwenye ajira hizi tulizopo na nimejifunza mengi mno kwenye nyanja hizo na moja ya mambo makubwa niliyojifunza ni kuwa MAFANIKIO NI MCHAKATO.

Katika familia yetu sisi siwezi kusema ni familia Tajiri sisi ni moja ya familia masikini, kwani sisi ni zile familia ambazo.

Tulikuwa tunakula kutokana na tafuta yetu, Wazazi wangu hawakuwahi kuwa na biashara tofauti na kufanya vibarua popote itakapopatikana. Pamoja na hayo mlo wetu ulikuwa wakulenga na manati kesto tule keshokutwa tulale njaa.

Kwa kifupi walifanya vibarua kama wangekuwa wanashamba hata tukawa tunalima nafikiri maisha yetu yasingekuwa afadhali ya jana tungejikita kwenye Kilimo hata na Ufugaji ili tule tushibe na nakumbuka kuna kipindi tuliwahi kulala njaa kama siku tano hivi kitupekee kilichotusaidia ni unga uliobakia kama vibakuli viwili hivi tulikuwa tunapika Uji mwepesi kabisa kwa mchana na usiku tu ili kupoza njaa.

Mama alijitahidi sana kupambana ili tusione maisha ni magumu na tusijue kama anaumia ila alipambana kama mwanaume jasiri hata kama hakuna chakula yeye alionyesha ni mtu ambae kesho anauhakika wa kupata na tukaishi.

Baba hakuwa mtu wa kujali sana matokeo yake alìkwenda kwa mdogo wake kuishi uko mapambano yakabaki kwa mama pamoja na kwamba alirudi ila bado hakuwa na msaada kwa wanae. Mama alihakikisha sikukuu tunavaa nguo mpya na shule tunaenda na kwa hilo alifanikiwa mama yetu sana.

Hakukuwa na maarifa ya kibiashara ambayo ningejifunza kwani nilikuwa mdogo sana, pamoja na udogo wangu nilikwenda kuomba omba kazi kwenye mjumba ya watu ila sikufanikiwa kupata. Baadae nilianua kuokota Vyuma chakavu ila mimj sikuwa kama watoto wa mtaani nilifanya kazi ya vyuma chakavu kama ajira kwangu maana ilinisaidia kununua mahitaji ya msingi pamoja na kumsaidia mama mahitaji yangu ya shuleni mama alinifunza zaidi ya kujiongeza na kunipa elimu juu ya pesa ninayoipata natakiwa kuifanyia kitu gani ili niweze kujipambania mimi kama mimi elimu hiyo haikuishia kwangu tu bali hata kwa kaka yangu pia alimwambia.

Baadae nikiwa darasa la 3 kwenda mpaka darasa la 4 nilianza kuuza, Miwa na maembe. Nilifanya hivi kwa mtaji kidogo nilioupata baada ya kwenda kulima kwa wenye vibarua nikalipwa senti chache, Moyo ukanituma nisile bali nitunze zitanisaidia baadae, haikutosha nikaenda kufanya vibarua vya ujenzi kama saidia fundi nikatunza kisha nikanunua mahitaji ya shule.

Katika maisha yangu nilipenda sana siku moja niwe Mfugaji ila sikufanikiwa mpaka sasa, nilijaribu kwa pesa niliyoipata nilinunua kuku na bata Wangu nikawafuga nikijua watanisaidia, Baadae nikapata wazo nikanunua na njiwa nikawa nawafuga baadae njiwa nao pia walikuwa kamradi kangu. Njiwa nazo zikaliwa na paka zingine zikakimbia sijui ziliko ishia.
Unajua ilikuwa mwaka gani huo? Ni miaka ya 2004s huko sijui wewe ulikuwa wapi mtu wangu.

Sasa baada ya harakati zote hizo. Maisha yalisonga, hapakuwa na utajiri, hapakuwa na mafanikio ya kifedha ila palikuwa na mafanikio ya kiakili niliweza kujifunza mengi bila kushikiwa fimbo ilinisaidia kujua thamani ya fedha.

Umri ukasonga maisha yakaendelea kwenye harakati zangu mwisho nikapata kazi kwenye Taasisi binafsi ya fedha nikaenda nikaonana na bosi mwenyewe tukaelewana bei ya malipo kila mwezi kazi ikaendelea hapo sasa nimeajiriwa,

Nikagundua kumbe mjini ni akili, hata ajira tunazopewa tukalipwa mamilioni bado ni mtego kamwe huwezi kuendelea kwa huo mshahara labda uwe mwizi na ukweli ni kuwa watumishi wengi ni wezi. Sababu tayari muda wako umeuuza kwa mwajiri wako bila kulazimishwa... Anyway tuyaache hayo.

Sasa kwenye hizi harakati zote nakuhakikishia pesa yangu kubwa ambayo nimewahi kuwa nayo kwa wakati mmoja haizidi milioni moja hata kama itazidi ni kidogo sana ila sidhani kama nimewahi kuwa na milioni 2. Labda zile pesa zangu ninazoambiwa zipo NSSF ambazo mpaka.

Sijui ni Sh. Ngapi, Siku moja nilizifuata nikaambiwa siwezi kupewa mpaka nifikishe miaka 65. Nikajisemea kimoyo moyo "Wezi wakubwa ninyi" yaani pesa yangu niliyokatwa kwenye jasho langu nyie mnaifanya kama pesa ya hisani? Eti kisa tu sikuachishwa kazi jimeacha mwenyewe.

Yaani kuacha kazi ni dhambi na adhabu yangu ni kutopewa haki yangu ambayo sio msaada. Anyway nchi yetu ina mambo mengi sana ya hovyo na hilo ni mojawapo.

Tuendelee..
Baadae tunarudi palepale kwenye mfumo wangu wa maisha wa kuamini katika HUSTLE, Licha ya kuwa sijawahi. Kuwa na Milioni hata 10 lakini kwa umri wangu mdogo sana nimefanikiwa sana kupitia hiyo slow slow.

Na ndio maana nashauri sana watu waache kuamini kuwa maisha tunaweza kuyabahatisha mafanikio. Mimi kuna wakati naibiwa, natapeliwa, nadhulumiwa na kukatishwa tamaa sana.

Ila haijawahi kuwa sababu ya kuamini katika shortcut. Sijawahi kuona kama nachelewa kwa lolote ilimradi napumua.

Nawekeza kwa watu kama sina pesa na hilo linanilipa sana. Naishi maisha yangu kwa sasa naweza simlipi mtu kodi kwenye nyumba ninayoishi,

Kitu pekee ninachotaka kukikwepa na kabla ya miaka 2 ijaya ni kumsujudia mtu ili nipate kushiba.
Haya yote sio kwamba nitayafanikisha kwa huruma bari kwa Hustle zangu ndio zitanivusha hapa.

Nimejitoa sana, Kuanzia mwaka 2003 mpaka leo sijawahi kujiona kama nimekosa chochote licha ya kuwa sijawahi kuwa na chochote.

Huwa naamini katika kufanya kile. Ninachoweza kisha namkabidhi Mungu.
Mshahara au malipo hayajawahi kuwa kipimo cha juhudi zangu katika kufanya chochote.

Mimi nikifanya kitu nakifanya kwa juhudi zangu zote na kwa nia njema, hata nikijua mwisho hautanilipa bado nitaongeza juhudi.

Huku mijini tunakutana na watu wengi wa kila aina Wenye navyo na wasiokuwa navyo. Sijawahi kujiskia mnyonge kisa fulani anacho mimi sina. Huwa namshukuru sana Mungu kwa kila kitu.

Simdharau mtu sababu ya hali yake yoyote na naamini kila mtu ana mchango wake kwenye hatua zangu.

Hata kwenye hii mitandao ambapo wengi hatujuani bado nimekuwa nikijaribu kumwangalia kila mtu kwa jicho la faida, hata kama hatupeani shekeli ila tunakuzana bongo zetu.

Tusitoke nje ya mada.
Niendelee kukumbusha kuwa ikiwa tunataka mafanikio lazima tukubali kuwa na TABIA CHANYA Tabia hizi tunatakiwa kuwa nazo hata tukiwa hatuna kitu, Mafanikio siyo suala la kuhamisha bali ni mchakato na kama hatujapata pesa basi angalau mafanikio yetu yaanzie kichwani.

Bongo zetu ziwe zinachaji, Ziwachajishe na Wengine.

UMASKINI NI SIYO SIFA.
 
Nakumbuka nikiwa na miaka 8 baba alituwekea million 10 watoto wake wote kwenye bank account. Nilipofika miaka 20 account ilikuwa na million 1 tu. Mzee maisha yalimpiga hatari, huyu mzee wangu alikuwa anamiliki nyumba zaidi ya 20 na maduka 3 ya biashara , billion kwake hela ya nyanya tu. Lakini alikuwa general wa familia alijua kuipanga vyema familia jinsi ya kupambana na maisha. Kwasababu ile hela yake ya nyanya kwetu imekuwa ya mboga mboga tu pia. Maisha kupanda na kushuka ujuwe unatumia ngazi imara itakayo kufikisha juu.
 
Ni hatari sana haya maisha ndugu
 
Me sijawahi kuishika kwa mara moja ila ndani ya mwaka nilicheki statement yangu ya bank nikaona million 15.6 zimeingia kupitia mishahara na posho nazopewa achilia mbali zile za kupewa mkononi..so ningeamua nitumie nusu nyingine niweke leo hii million 8 nisingekosa.....tatizo k veve na chupi
 
Mkuu kama upo hai na una nguvu ya kuzitafuta wewe imba tu "I'm a winner, I'm a Champion " iko siku utazipata

Kontawa Ft. Nay wa Mitego - Champion_IKMZIKI.jpg
 
Mimi ni kijana ambae bado kiumri ni mdogo pia muumini mkubwa sana wa HUSTLER, Huwa naamini katika kukua kidogo kidogo, Si muumini wa kulala Maskini na kuamka Tajiri. Naamini katika "Kidogo kidogo hujaza kibaba.

Namshukuru sana Mungu katika umri wangu mdogo nimeweza.

Kupita mitihani mingi na migumu na yenye kunifunza, huwa nikikutana na kijana anapambana najihisi tuko wote katika tanuru hili ya Mapambani pia nashukuru nimeweza kupitia tanuru hili la ajira ingawa kuna muda utafika nitoke na kujiajiri, Kuna mengi nimeyaona kwenye ajira hizi tulizopo na nimejifunza mengi mno kwenye nyanja hizo na moja ya mambo makubwa niliyojifunza ni kuwa MAFANIKIO NI MCHAKATO.

Katika familia yetu sisi siwezi kusema ni familia Tajiri sisi ni moja ya familia masikini, kwani sisi ni zile familia ambazo.

Tulikuwa tunakula kutokana na tafuta yetu, Wazazi wangu hawakuwahi kuwa na biashara tofauti na kufanya vibarua popote itakapopatikana. Pamoja na hayo mlo wetu ulikuwa wakulenga na manati kesto tule keshokutwa tulale njaa.

Kwa kifupi walifanya vibarua kama wangekuwa wanashamba hata tukawa tunalima nafikiri maisha yetu yasingekuwa afadhali ya jana tungejikita kwenye Kilimo hata na Ufugaji ili tule tushibe na nakumbuka kuna kipindi tuliwahi kulala njaa kama siku tano hivi kitupekee kilichotusaidia ni unga uliobakia kama vibakuli viwili hivi tulikuwa tunapika Uji mwepesi kabisa kwa mchana na usiku tu ili kupoza njaa.

Mama alijitahidi sana kupambana ili tusione maisha ni magumu na tusijue kama anaumia ila alipambana kama mwanaume jasiri hata kama hakuna chakula yeye alionyesha ni mtu ambae kesho anauhakika wa kupata na tukaishi.

Baba hakuwa mtu wa kujali sana matokeo yake alìkwenda kwa mdogo wake kuishi uko mapambano yakabaki kwa mama pamoja na kwamba alirudi ila bado hakuwa na msaada kwa wanae. Mama alihakikisha sikukuu tunavaa nguo mpya na shule tunaenda na kwa hilo alifanikiwa mama yetu sana.

Hakukuwa na maarifa ya kibiashara ambayo ningejifunza kwani nilikuwa mdogo sana, pamoja na udogo wangu nilikwenda kuomba omba kazi kwenye mjumba ya watu ila sikufanikiwa kupata. Baadae nilianua kuokota Vyuma chakavu ila mimj sikuwa kama watoto wa mtaani nilifanya kazi ya vyuma chakavu kama ajira kwangu maana ilinisaidia kununua mahitaji ya msingi pamoja na kumsaidia mama mahitaji yangu ya shuleni mama alinifunza zaidi ya kujiongeza na kunipa elimu juu ya pesa ninayoipata natakiwa kuifanyia kitu gani ili niweze kujipambania mimi kama mimi elimu hiyo haikuishia kwangu tu bali hata kwa kaka yangu pia alimwambia.

Baadae nikiwa darasa la 3 kwenda mpaka darasa la 4 nilianza kuuza, Miwa na maembe. Nilifanya hivi kwa mtaji kidogo nilioupata baada ya kwenda kulima kwa wenye vibarua nikalipwa senti chache, Moyo ukanituma nisile bali nitunze zitanisaidia baadae, haikutosha nikaenda kufanya vibarua vya ujenzi kama saidia fundi nikatunza kisha nikanunua mahitaji ya shule.

Katika maisha yangu nilipenda sana siku moja niwe Mfugaji ila sikufanikiwa mpaka sasa, nilijaribu kwa pesa niliyoipata nilinunua kuku na bata Wangu nikawafuga nikijua watanisaidia, Baadae nikapata wazo nikanunua na njiwa nikawa nawafuga baadae njiwa nao pia walikuwa kamradi kangu. Njiwa nazo zikaliwa na paka zingine zikakimbia sijui ziliko ishia.
Unajua ilikuwa mwaka gani huo? Ni miaka ya 2004s huko sijui wewe ulikuwa wapi mtu wangu.

Sasa baada ya harakati zote hizo. Maisha yalisonga, hapakuwa na utajiri, hapakuwa na mafanikio ya kifedha ila palikuwa na mafanikio ya kiakili niliweza kujifunza mengi bila kushikiwa fimbo ilinisaidia kujua thamani ya fedha.

Umri ukasonga maisha yakaendelea kwenye harakati zangu mwisho nikapata kazi kwenye Taasisi binafsi ya fedha nikaenda nikaonana na bosi mwenyewe tukaelewana bei ya malipo kila mwezi kazi ikaendelea hapo sasa nimeajiriwa,

Nikagundua kumbe mjini ni akili, hata ajira tunazopewa tukalipwa mamilioni bado ni mtego kamwe huwezi kuendelea kwa huo mshahara labda uwe mwizi na ukweli ni kuwa watumishi wengi ni wezi. Sababu tayari muda wako umeuuza kwa mwajiri wako bila kulazimishwa... Anyway tuyaache hayo.

Sasa kwenye hizi harakati zote nakuhakikishia pesa yangu kubwa ambayo nimewahi kuwa nayo kwa wakati mmoja haizidi milioni moja hata kama itazidi ni kidogo sana ila sidhani kama nimewahi kuwa na milioni 2. Labda zile pesa zangu ninazoambiwa zipo NSSF ambazo mpaka.

Sijui ni Sh. Ngapi, Siku moja nilizifuata nikaambiwa siwezi kupewa mpaka nifikishe miaka 65. Nikajisemea kimoyo moyo "Wezi wakubwa ninyi" yaani pesa yangu niliyokatwa kwenye jasho langu nyie mnaifanya kama pesa ya hisani? Eti kisa tu sikuachishwa kazi jimeacha mwenyewe.

Yaani kuacha kazi ni dhambi na adhabu yangu ni kutopewa haki yangu ambayo sio msaada. Anyway nchi yetu ina mambo mengi sana ya hovyo na hilo ni mojawapo.

Tuendelee..
Baadae tunarudi palepale kwenye mfumo wangu wa maisha wa kuamini katika HUSTLE, Licha ya kuwa sijawahi. Kuwa na Milioni hata 10 lakini kwa umri wangu mdogo sana nimefanikiwa sana kupitia hiyo slow slow.

Na ndio maana nashauri sana watu waache kuamini kuwa maisha tunaweza kuyabahatisha mafanikio. Mimi kuna wakati naibiwa, natapeliwa, nadhulumiwa na kukatishwa tamaa sana.

Ila haijawahi kuwa sababu ya kuamini katika shortcut. Sijawahi kuona kama nachelewa kwa lolote ilimradi napumua.

Nawekeza kwa watu kama sina pesa na hilo linanilipa sana. Naishi maisha yangu kwa sasa naweza simlipi mtu kodi kwenye nyumba ninayoishi,

Kitu pekee ninachotaka kukikwepa na kabla ya miaka 2 ijaya ni kumsujudia mtu ili nipate kushiba.
Haya yote sio kwamba nitayafanikisha kwa huruma bari kwa Hustle zangu ndio zitanivusha hapa.

Nimejitoa sana, Kuanzia mwaka 2003 mpaka leo sijawahi kujiona kama nimekosa chochote licha ya kuwa sijawahi kuwa na chochote.

Huwa naamini katika kufanya kile. Ninachoweza kisha namkabidhi Mungu.
Mshahara au malipo hayajawahi kuwa kipimo cha juhudi zangu katika kufanya chochote.

Mimi nikifanya kitu nakifanya kwa juhudi zangu zote na kwa nia njema, hata nikijua mwisho hautanilipa bado nitaongeza juhudi.

Huku mijini tunakutana na watu wengi wa kila aina Wenye navyo na wasiokuwa navyo. Sijawahi kujiskia mnyonge kisa fulani anacho mimi sina. Huwa namshukuru sana Mungu kwa kila kitu.

Simdharau mtu sababu ya hali yake yoyote na naamini kila mtu ana mchango wake kwenye hatua zangu.

Hata kwenye hii mitandao ambapo wengi hatujuani bado nimekuwa nikijaribu kumwangalia kila mtu kwa jicho la faida, hata kama hatupeani shekeli ila tunakuzana bongo zetu.

Tusitoke nje ya mada.
Niendelee kukumbusha kuwa ikiwa tunataka mafanikio lazima tukubali kuwa na TABIA CHANYA Tabia hizi tunatakiwa kuwa nazo hata tukiwa hatuna kitu, Mafanikio siyo suala la kuhamisha bali ni mchakato na kama hatujapata pesa basi angalau mafanikio yetu yaanzie kichwani.

Bongo zetu ziwe zinachaji, Ziwachajishe na Wengine.

UMASKINI NI SIYO SIFA.
Uza JICHO
 
Accounting sometimes Huwa zinatuaribu bongo zetu....unapost mapesa kwenye systems mpk unajihisi umesha kua nazo.....

Humu ndani Kuna watu mpo real sana asanteee saaanaaa Kwa madini....

Hakuna kukata tamaa... never loose hope...aluta continue Kwa vijana wote wanao pambana ku make their dream true.
 
Nimependa huu uzi. Nahisi ni sehemu sahihi ya sisi wapambanaji kubadilishana chai kidogo za kila siku. Kama tulivowengi, namimi nimeshika pesa ndefu sana nikiwa na umri mdogo. Changamoto inakuja kwenye kila mchongo nataka pesa iwe ndefu vile vile kama nilivozoea. Recently nimeanza kujielewa na nipo kwenye ile haba na haba hujaza kibaba. Ingawa in reality sio haba kwa kweli mana last two weeks nimeweza kuzalisha 817$, hii kwa kijana aliajiriwa serikalini ni ya mwezi kabisa. Nategemea kumaliza mwaka na more than 1600$ kama mambo yataenda vizuri. Lakini kikubwa ambacho sitataka wanangu wakosee kama mimi ni kuhusu elimu ya pesa. Hii wengi wetu tunaikosa na ndio chanzo kikubwa cha wengi watoke 100 to 0 ndani ya mda mchache. Nashauri vijana wenzangu tuwe na discipline ya pesa haswa. Hawa wazee wetu walifanikiwa kwa sababu waliweza kuheshimu chochote walichopata. Nawasilisha wapambanaji wenzangu....discipline is a million
 
Nafikiri ni watanzania wengi wako hivo mimi sijawahi shika mil.1 kwa wakati mmoja,nikisia mtu anasema mshara wangu ni M2+ kwa huwa nawaza kama mimi ningepata msharaha huo mara 3 au 4 iv baasi ningekuwa far sana..anyway aluta continua
 
Nimependa huu uzi. Nahisi ni sehemu sahihi ya sisi wapambanaji kubadilishana chai kidogo za kila siku. Kama tulivowengi, namimi nimeshika pesa ndefu sana nikiwa na umri mdogo. Changamoto inakuja kwenye kila mchongo nataka pesa iwe ndefu vile vile kama nilivozoea. Recently nimeanza kujielewa na nipo kwenye ile haba na haba hujaza kibaba. Ingawa in reality sio haba kwa kweli mana last two weeks nimeweza kuzalisha 817$, hii kwa kijana aliajiriwa serikalini ni ya mwezi kabisa. Nategemea kumaliza mwaka na more than 1600$ kama mambo yataenda vizuri. Lakini kikubwa ambacho sitataka wanangu wakosee kama mimi ni kuhusu elimu ya pesa. Hii wengi wetu tunaikosa na ndio chanzo kikubwa cha wengi watoke 100 to 0 ndani ya mda mchache. Nashauri vijana wenzangu tuwe na discipline ya pesa haswa. Hawa wazee wetu walifanikiwa kwa sababu waliweza kuheshimu chochote walichopata. Nawasilisha wapambanaji wenzangu....discipline is a million
discipline ni muhimu
 
Me sijawahi kuishika kwa mara moja ila ndani ya mwaka nilicheki statement yangu ya bank nikaona million 15.6 zimeingia kupitia mishahara na posho nazopewa achilia mbali zile za kupewa mkononi..so ningeamua nitumie nusu nyingine niweke leo hii million 8 nisingekosa.....tatizo k veve na chupi
Ndiyo umemiliki hivyo, unadhani wanaomiliki Bilioni lazima iingie mara moja.
 
Back
Top Bottom