You tube ni kila kitu chief.Ni juhudi zako tu.Ila kama uko na mda wa kupoteza na fedha.Viko vyuo vingi..Wakuu naulizia wapi nitapata proffessional short course ya kurekodi video na kupiga picha kitaalamu Kwa kutumia digital camera au video shooting camera, natafuta ujuzi wa hvi vitu hasa Kwa mambo yatuatayo
View attachment 1216965
Nikipata Kwa Mwanza itakuwa njema zaidi ahsante
Ahsante mkuu hata mim niliona ni waste of tyme sa hv YouTube ndo mwalimu mkuuYou tube ni kila kitu chief.Ni juhudi zako tu.Ila kama uko na mda wa kupoteza na fedha.Viko vyuo vingi..
Ushauri mwingine nunua vifaa tafuta photographer/videographyer uwe unakwenda nae kupiga picha for free.Saidia kushika taa n.k