Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Huwa naivuaga hasa wkt wa kuoga ama kulala siku moja moja. Huwa sina michepuko tangu nilipooa mwaka.
Sikuipoteza makusudi ni bahati mbaya tu mkuu. Mana ni nzr na gharama sana na pia kumbuka baba paroka aliibariki kanisani..
kama kuna bahati mbaya ,hiyo nayo ni ishara ya bahati mbaya !!!
 
pete sio ndoa na ndoa sio pete hata kama ikiwa ya milion 5 mapenz yatabaki kuwa mapenz tuu..na mwenzio kama atamaindi kuhusu pete basi atakuwa sawa na zeroooooo
 
Tafuta pete nyingeni,chukua pamoja na yako uzipeleke kwa mchungaji au shehe aziombee/kubariki ndio umpatie avae.

Kiroho pete ni agano kwa hiyo aishauriwi kuivaa hivi hivi tu.
 
Hiyo ni dalili kuwa unasalitiwa na mungu haipendi hiyo ndoa,ukiilazimisha ni wazi kuwa UTAKUFA.
Hizi waga ni imani za kishenzi.. Usipende kufikili vitu tofauti hivyo. Nazani hiyo nikama ajari nyingine tu.. Mbona mkidondosha simu amji na vikra za ajabu namna hii..!?
 
Hiki kihoro hadi kuanzisha thread huku ni kupotea makusudi.

Kuna jamaa alivua pete ili aende kwa mchepuko. Ikapotea kwenye mazingira tata! Hivi hiyo pete imetumbukia vipi chooni? Ilikuwa ina pwaya au? Hivi pete ya ndoa huwa inavuliwa? Ni kwa muda gani unaitoa au kuivaa?
Huenda ilikua inampwaya usimlaumu sana
 
Back
Top Bottom