ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
hadi anatia huruma aiseeNdoa zingine zinatikiswa na pete, si mchezo kabisa.
hadi anatia huruma aiseeNdoa zingine zinatikiswa na pete, si mchezo kabisa.
Kiherehere cha nini kucomment,kama mada ni ya kijinga kwako acha kuchangia.Wanaume wa siku hizi sijui tumekuaje yani mada za kijinga nyingi tunaanzisha sisi!.. Kapotelewa na pete analeta uzi eti MSAADA sasa tuje saidia nyonya uchafu chooni.
Nakusahihisha ulitaka nikwambie kampigie magoti mkeo!?..Haya nenda kamuombe msamaha mkeo umedrop pete chooni! happy now moron!?..Kiherehere cha nini kucomment,kama mada ni ya kijinga kwako acha kuchangia.
Habarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Acha uboya nenda kwa sonara kachonge nyingineHabarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
BadoNdoa imevunjika au bado?
Npambane vp kaka sielewUsitake kujipa imani kuwa ni ishara fulani...uwe na pete au upoteze, hiyo ngoma unayo hadi lyamba. Pambana
Wala hamna cha pete atamm nashidwa kuelewabomoa chemba hiyo chuja ivo vitu vilivyomo humo utaipata chief...siku 6 bado chache sana hata wiki haijaisha bwana
Mke wangu ataondoka aiseeMpaka kuanzisha thread?? Maisha lazima yaendelee tu Kwani bila pete ndoa inakufa au
Mke wangu ataondoka aiseeMpaka kuanzisha thread?? Maisha lazima yaendelee tu Kwani bila pete ndoa inakufa au
Vunja choo uitoe mkeo asiondokeMke wangu ataondoka aisee
Wewe ndio mke wa mleta uzi?Bado
Usitake kujipa imani kuwa ni ishara fulani...uwe na pete au upoteze, hiyo ngoma unayo hadi lyamba. Pambana

haendi popote au siyohaendi popote au siyo
nahisi ni pambo kama mapambo mengine tuHivi pete ina umuhimu gani kwenye ndoa mie sielewi?![]()