barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Anayekutongoza afanye tongozo kwa tahadhari. Ni indication kwa watongozaji.Hivi pete ina umuhimu gani kwenye ndoa mie sielewi?![]()
Anayekutongoza afanye tongozo kwa tahadhari. Ni indication kwa watongozaji.Hivi pete ina umuhimu gani kwenye ndoa mie sielewi?![]()
Na nlitaka nimwambie hivyo hivyo pete ni urembo tuKama ndoa haijavunjika achana na pete.
Vaa uaminifu,pete mzigo
Basi vunja tu choo mkuu, maana gharama hiyo sio ya polepoleDah inaniuma sana. Ilikuwa nzuri na ya gharama sana..
akakutane navyo tu, sidhani kwa mtu wa kawaida anaweza uliza swali kama lake!![]()
![]()
atakutana na visivyo kutwa.



Huwa naivuaga hasa wkt wa kuoga ama kulala siku moja moja. Huwa sina michepuko tangu nilipooa mwaka.Hiki kihoro hadi kuanzisha thread huku ni kupotea makusudi.
Kuna jamaa alivua pete ili aende kwa mchepuko. Ikapotea kwenye mazingira tata! Hivi hiyo pete imetumbukia vipi chooni? Ilikuwa ina pwaya au? Hivi pete ya ndoa huwa inavuliwa? Ni kwa muda gani unaitoa au kuivaa?
Pole sana, mie sioni ulazima wa pete kama ni upendo au uaminifu hutoka moyoni mwa mtu.Ina umuhimu machoni mwa wanajamii,ila kiuhalisia sidhani. Wife anakomaa irudi na wakati anajua imetumbukia chooni..
akakutane navyo tu, sidhani kwa mtu wa kawaida anaweza uliza swali kama lake!![]()

Wife hanielewi,mana siku zote huwa naivuaga chumbani kabla sijaenda bafuni/toilet. Sasa ile ijumaa nilijisahau nikaenda nayo bafuni na ndipo ikatunbukia bahati mbaya wkt naflash choo.Kama ndoa haijavunjika achana na pete.
Vaa uaminifu,pete mzigo
Niliivua nikaiweka juu ktk kile kitank cha maji kwa vyoo vya kuflash. Sasa baada ya kuvuta kamba ya kuflashia ndio ikateleza baada ya maji kuanza kutoka si huwayana kasi na vile vitank huwa vina-vibrate/tetemeka..Pole sana ilikuwaje mpaka ikaponyoka au vidole vimekonda![]()
![]()
DuhNiliivua nikaiweka juu ktk kile kitank cha maji kwa vyoo vya kuflash. Sasa baada ya kuvuta kamba ya kuflashia ndio ikateleza baada ya maji kuanza kutoka si huwayana kasi na vile vitank huwa vina-vibrate/tetemeka..
Mi sioni hata umuhimu wakeNa nlitaka nimwambie hivyo hivyo pete ni urembo tu
Mimi haina faida yoyote bali ni urembo tu, sijui wengine mtazamo waoHivi pete ina umuhimu gani kwenye ndoa mie sielewi?![]()