Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Hiki kihoro hadi kuanzisha thread huku ni kupotea makusudi.

Kuna jamaa alivua pete ili aende kwa mchepuko. Ikapotea kwenye mazingira tata! Hivi hiyo pete imetumbukia vipi chooni? Ilikuwa ina pwaya au? Hivi pete ya ndoa huwa inavuliwa? Ni kwa muda gani unaitoa au kuivaa?
Akijibu miswali yote hiyo nitag.
 
Habarini wana jamvi.

Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.

Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Nenda SONARA
 
Wife hanielewi,mana siku zote huwa naivuaga chumbani kabla sijaenda bafuni/toilet. Sasa ile ijumaa nilijisahau nikaenda nayo bafuni na ndipo ikatunbukia bahati mbaya wkt naflash choo.
Mkuu we umeoa au umeolewa??inakuwaje unashindwa kum control mke wako kwa kitu kidogo km hcho
 
Back
Top Bottom