Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Huwaga inapwaya nikiwa naogaga ila ktk mazingira ya kawaida huwa ipo tight. Na pia huwa naivuaga nyakati za kuoga ama kufua kwa kuifanya isifubae
Ok, pole nd basi tena mkuuHapana,nilikuwa home kwangu..
pete mzigo tu kama mizigo mingineHivi pete ina umuhimu gani kwenye ndoa mie sielewi?[emoji40]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]pete mzigo tu kama mizigo mingine
nenda ufungue kwenye chemba 1 inayopokea uchafu ndio iingize kwenye main chamber ukikosa fungua mifuniko yote ya kabla ya kufikia chamber 1 halafu angalia humo ukikosa weka mtu mmoja mmoja kwenye kila mfuniko halafu flash maji mengi kutoka kwako atakayeiona inateremka ataichukua. all the bestHabarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Ya gram ngapi? linganisha gharama ya kutengeneza nyingine na gharama ya kumweka kibarua wa kuitoa. itakuwa katika shimo ndogo tu ya choo, hivyo unamtafuta mtu kuzibua choo. ni rahisi sana tu, anafunuia mfuniko, anatoa uchafu wote. Pia unakuwa umaefanaya kazi mbili kwa mpigo, ya kutoa pete na kusafisha chemba.Dah inaniuma sana. Ilikuwa nzuri na ya gharama sana..
[emoji12] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Utaanguka![emoji12] [emoji125] [emoji125]
hahahah ngoj nilog offUtaanguka!
Ndoa zingine zinatikiswa na pete, si mchezo kabisa.[emoji12] [emoji125] [emoji125]
Bas achana na pete kwasababu haitasaidia lolote ktk ndoa yako. Cha msingi we toa taarifa kwa mwenzioNi ya Mume na mke mmoja,ktk shida na raha.
Si ununue nyengine umpe akuvarisheIna umuhimu machoni mwa wanajamii,ila kiuhalisia sidhani. Wife anakomaa irudi na wakati anajua imetumbukia chooni..