Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Sijasema unachepuka mkuu, hiyo ni story nimesema ya jamaa flani. Kwanini uliivulia chooni mkuu?
Ni kupitiwa na pia kuchoka na pilika pilika za kusaka noti mchana kutwa..
 
Itachotamavi iitoe kwan JF WANAVUTA MAVI CHOONI
 
Nina rafiki yangu alipoteza pete kwa bahati mbaya sokoni,ilikua inapwaya sasa katika kuchagua vitu ikavuka hata ilipkdondokea hatukuona,ilibidi akachonge nyingine ya kufanana na ile ile ili husband asilete zengwe
Nami itanibidi nikachonge ingine ya kufanana na ile aiseeee.
 
Habarini wana jamvi.

Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.

Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Lete pesa nikupe yangu gram tano,lete lakini tatu tuu
 
Kanunue nyingine kisha peleka kwa paroko aibariki halafu mkeo atakuvisha Hata mara utakaporudi nyumbani !
Mimi pia mwenzangu aliniambia kaipoteza wala sikupata tashwishwi baada ya muda flani tukanunua zingine ile yangu ilipauka akapeleka zikabarikiwa akaziketa nyumbani tukaveshana!
Huyo mkeo akuelewe tu aache mambo ya kitoto!
Ahsante sana mkuu. Nitafanya hivyo mana kukaa bila pete si jambo jema sana kwangu na wana jamii wanaonizunguka
 
Ahaaaaaaa koma kuchepuka, najua ulikuwa unaenda kwa mchepuko ukaivua ukaweka mfukoni, ndo hivyo tena chooni huipati kena.
Sio kila mtu ni mpenda michepuko kama ulivyo..
 
Back
Top Bottom