Itakuwa ni chooni kwa mchepuko wake labdaHiki kihoro hadi kuanzisha thread huku ni kupotea makusudi.
Kuna jamaa alivua pete ili aende kwa mchepuko. Ikapotea kwenye mazingira tata! Hivi hiyo pete imetumbukia vipi chooni? Ilikuwa ina pwaya au? Hivi pete ya ndoa huwa inavuliwa? Ni kwa muda gani unaitoa au kuivaa?
Si uviweke gris hvyo vyuma ili vilegee, ww unatoa ya nn mm ninavyojua Pete za bei ghali huwa hazitolew unaogea unafulia na haipauk ila poleNataka fanya hivyo,ila itanigharimu sana na vyuma vilivyokaza nawaza sana..
Mweleze tu mkuu, pia mwambie jinsi pete yako ilivyo ya thamani kuliko hicho choo cha nyumba yakeNyumba ni ya kupanga utaanzaje kumweleza faza house juu ya hilo jambo.
Changa wakt limepwaya mpk mkono IKAKONDA????Bado tena changa sana..
Huwaga inapwaya nikiwa naogaga ila ktk mazingira ya kawaida huwa ipo tight. Na pia huwa naivuaga nyakati za kuoga ama kufua kwa kuifanya isifubaeIlikua inapwaya ie over size..au ulivua au ilikuwaje? Kama ni bahati mbaya mwenzio hutasita kumwambia..na kama ana busara haitamchukua muda ku realize kuwa hata wewe hukupenda ipotee.
Ila kama ni michezo yako...jipange !
Niliivua nikaiweka juu ktk kile kitank cha maji kwa vyoo vya kuflash. Sasa baada ya kuvuta kamba ya kuflashia ndio ikateleza baada ya maji kuanza kutoka si huwayana kasi na vile vitank huwa vina-vibrate/tetemeka..