rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Daaaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kuna vitu vingine. Ila ngoja nikupe ushauri vinja choo tumbukia ukaitafute kama mwezako mmoja kwenye movi alikuwa anatafuta almasi ikaliwa na mamba akatumbukia mtoni kuifata.Habarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.