Msaada-paypal

Msaada-paypal

eebana ufanyeje credit mpaka ukaweza kulink hiyo card yako
 
Kwanza mkuu Paypal hawakati hata senti moja kwa mnunuzi bali wanachukua kamisheni kwa muuzaji. Pili unapolipia bidhaa kwa Paypal yaiwezekani kuibiwa, kinachofanyka ni hichi:-

Unapojisajili kwenye Paypal wao wanaweka taarifa za akaunti yako, unaponunua bidhaa kutoka kwa muuzaji yeye hawezi kuzipata taarifa za akaunti yako ila wewe unawapelekea taarifa Paypal kisha Paypal wanamlipa fedha muuzaji aliyekuuzia wewe bila ya kumpa taarifa za akaunti yako ya benki. Hivyo basi njia hii ni salama kwenye ununuzi.

Vile vile eBay sio wanaokutafuta wewe na kukutumia bidhaa unayonunua, eBay hawana bidhaa hata moja bali wauzaji mbali mbali huuza bidhaa zao kupitia mnada wa eBay. Kwa hiyo unaponunua bidhaa kwenye eBay uwe makini na kuhakikisha kwamba muuzaji yuko tayari kupost mzigo kuja Tanzania. Wengi huorodhesha nchi ambazo wako tayari kupost, ikiwa hakuorodhesha unaweza kumuandikia email na kumuuliza muuzaji kabla ya kununua, kama yuko tayari kupost Tanzania na atakuchaji shilingi au dola ngapi.

Mwisho kabisa ukilipia bidhaa kwenye eBay na kulipa kwa Paypal, iwapo mzigo haukukufikia Paypal wanakurudishia fedha zako zote bila ya kukata hata senti moja. Lakini huchukua muda kama wa mwezi mmoja kufanya uchunguzi ni kwa nini mzigo haukukufikia na kuhakikisha kwamba wewe sio tapeli uliyepokea mzigo kisha unajifanya hukuupata. Mimi binafsi nilishawahi kununua simu miaka michache iliyopita, nakumbua ilikuwa ni HTC Advantage kwa £300.00, kumbe jamaa alikuwa ni tapeli akaingia mitini kwa hiyo nililipwa pesa yangu ingawa ilichukua takriban siku 40 hivi.[/QUOTE)Mkuu mi naongea vitu ambavyo ninavifanya kila siku baada ya kununua kitu mtandaoni kwa kutumia paypal,watakutumia electronic receipt so wewe soma ile receipt imeandikwa wamekata asi;imia ngapi maana kila kitu kipo wazi kabisa alafu check balance ya pesa zako ni sh ngapi coz paypal huwa hawafanyi kazi za bure bure.
 
Kwanza mkuu Paypal hawakati hata senti moja kwa mnunuzi bali wanachukua kamisheni kwa muuzaji. Pili unapolipia bidhaa kwa Paypal yaiwezekani kuibiwa, kinachofanyka ni hichi:-

Unapojisajili kwenye Paypal wao wanaweka taarifa za akaunti yako, unaponunua bidhaa kutoka kwa muuzaji yeye hawezi kuzipata taarifa za akaunti yako ila wewe unawapelekea taarifa Paypal kisha Paypal wanamlipa fedha muuzaji aliyekuuzia wewe bila ya kumpa taarifa za akaunti yako ya benki. Hivyo basi njia hii ni salama kwenye ununuzi.

Vile vile eBay sio wanaokutafuta wewe na kukutumia bidhaa unayonunua, eBay hawana bidhaa hata moja bali wauzaji mbali mbali huuza bidhaa zao kupitia mnada wa eBay. Kwa hiyo unaponunua bidhaa kwenye eBay uwe makini na kuhakikisha kwamba muuzaji yuko tayari kupost mzigo kuja Tanzania. Wengi huorodhesha nchi ambazo wako tayari kupost, ikiwa hakuorodhesha unaweza kumuandikia email na kumuuliza muuzaji kabla ya kununua, kama yuko tayari kupost Tanzania na atakuchaji shilingi au dola ngapi.

Mwisho kabisa ukilipia bidhaa kwenye eBay na kulipa kwa Paypal, iwapo mzigo haukukufikia Paypal wanakurudishia fedha zako zote bila ya kukata hata senti moja. Lakini huchukua muda kama wa mwezi mmoja kufanya uchunguzi ni kwa nini mzigo haukukufikia na kuhakikisha kwamba wewe sio tapeli uliyepokea mzigo kisha unajifanya hukuupata. Mimi binafsi nilishawahi kununua simu miaka michache iliyopita, nakumbua ilikuwa ni HTC Advantage kwa £300.00, kumbe jamaa alikuwa ni tapeli akaingia mitini kwa hiyo nililipwa pesa yangu ingawa ilichukua takriban siku 40 hivi.
Mkuu mi naongea vitu ambavyo ninavifanya kila siku baada ya kununua kitu mtandaoni kwa kutumia paypal,watakutumia electronic receipt so wewe soma ile receipt imeandikwa wamekata asi;imia ngapi maana kila kitu kipo wazi kabisa alafu check balance ya pesa zako ni sh ngapi coz paypal huwa hawafanyi kazi za bure bure
 
eti usipotumia paypal ukinunua kitu online na tembo visa card yako ya Tshs inakubalika??
 
eti usipotumia paypal ukinunua kitu online na tembo visa card yako ya Tshs inakubalika??
Inakubalika ili mradi kiasi kilichopo kwenye akaunti kisipungue kiasi cha kitu unachonunua kwani kuna currency convetor inayobadili kiwango chochote cha fedha dunia kwenda kwenye dola ,paund au euro kutokana na kitu kinauzwa kikiwa kwenye currency gani
 
Wakuu msaada wenu!

Nemefuata procedures zote za kujiunga na paypal, tatizo linakuja kwenye confirmation ya account yangu. Kwani leo ni siku ya 6 bado sijaziona zile 4 digits kwenye bank statement yangu. Kwani kwa kawaida inachukua siku ngapi ili four digits ziwe reflected kwenye bank statement yako.
mi ninatumia internet banking ku view account yangu.
 
Back
Top Bottom