gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 637
- 814
Wakuu passo yangu ni four wheel drive tangu last month imekuwa na nguvu ndogo, yaani unakanyaga mafuta bado inakuwa inatembea polepole sana. Mlimani ndio kabisaa inataka hata kusimama. Kama kuna mafundi humu au wazoefu nisaidieni jamani tatizo litakuwa ni nini?