MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Jamani mimi ninakofugia kuku kuna nyani, kuku wangu wanaliwa sana nifanyeje?
Una maanisha nyani anakula kuku? Mimi nilidhani wanakula ndizi tuJamani mm ninakofugia kuna nyani kuku wangu wanaliwa sana nifanyeje????
Aiseeh. .....
1. Fuga mbwa
2. Panda migomba ya ndizi kuzunguka eneo la ufugaji.... Acha ndizi ziivie kwenye mgomba kisha unazichoma sindano ya sumu. Wakila 2 au 3 na kufa watakimbia wote.
Hao kuku unaongea ni broiler au wa kienyeji?
Kama wa kienyeji usijibu kwa njia hizo 2 hapo juu utakuwa ushatatua tatizo.
Kama ni broiler. .... jiandae kwa hasara maana hakuna namna wataliwa sana na paka hata na huyo mbwa utakayemfuga kwa ajili ya ulinzi.
Hao kuku kama ni vicheche wachome midomo yao na makaa ya moto wao kwa wao hawataumizana ila akija nyani watamdhibiti kwa umoja wao na kumkamua vilivyo.
kuku wampige nyani
Huyu ni sokwe mzungu?Mtafute mlinzi monkey ungabure akulindie hao kuku wako..
Huyu Nyani anapatikana USAHuyu ni sokwe mzungu?
AiseeHuyu Nyani anapatikana USA
Uyo ni Nyani Ngabu?Huyu Nyani anapatikana USA