Bigboy74
Senior Member
- Mar 6, 2009
- 105
- 109
Aisee nimecheka mpaka machozi yamenitoka.. Hao nyani ni wa mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi shambani kwangu nafuga kuku na nalima matikiti na jirani yangu analima mpunga , kuna nyani wanakuja wanaanza na mpunga (wali) then wanakuja kwenye kuku alafu wanamalizia na kuyala matikiti. ..yaani full menu ya hotel na nimewapiga na bunduki baada ya siku 3 wanarudi tena kupiga menu yao... dawa kuwatega na wao kuwala tu.