Hizo key zisizotumika Ni zile Namba za pembeni ama Kuna nyengine tofauti na namba?Nimeweka OFF lakini bado kuna vilevile
Mkuu ukitumia on screen keyboard zipo vizuri? Ama keyboard nyengine ya njeNamba Za Pembeni.
Na T, Y, C, Shift
Mkuu inawezekana likawa Ni tatizo la hardware labda keyboard imeaingia maji ama some stuck etc.Yes Ukitumia On Screen Zinatumika Kama Kawaida.
Numlock unabonyeza tu button ilioandikwa numlock ikiwa on kutawaka taa yake na ikiwa off itazima taa yake.Kwani Namna Nzuri Ya Kuzima Num Lock Ni Ipi ?
Maana Sometimes Nikiwasha PC Naona Kama Zinawaka
kama una uhakika keyboard nzima ingia device manager tafuta keyboard kisha chagua option hizi update, scan au unstall driver kisha restart bila kuchomoa hiyo keyboard kama numlock haikukubali jaribu hiiMSAADA WADAU
Nimekwama
sikuangalia vizuri title nilijua unatumia keyboard ya nje kwa desktop okey fuata hizo hatua achana na hiyo ya kuchomoa keyboardKuchomoaje Keyboard ?
Keyboard Inakufaje Namba Za Pembeni Kulia Pekee, SHIFT, Y, T na ENTER ?
Nadhani kuna settings tu hazijakaa sawa.
Mwanzo Num Lock Ndo Ilikuwa Iko ON nimezima lakini bado keys hizo hazifanyi kazi.
Keyboard Inakufaje Namba Za Pembeni Kulia Pekee, SHIFT, Y, T na ENTER ?
Nadhani kuna settings tu hazijakaa sawa.
Mwanzo Num Lock Ndo Ilikuwa Iko ON nimezima lakini bado keys hizo hazifanyi kazi.
Hivi Laptop Hainaga Mambo Ya Ya Ku-restore Factory Settings ?Mkuu keyboard ikifa huwa inakuwa na misbehavior za ajabu sana, ila kama uko vizuri kanunue nyingine, yangu ilipokufa ilikuwa kila mara inaji scroll kwenda chini. So kila moja huwa na vituko vyake