Msaada; Num lock imesabaisha baadhi ya keys kwenye HP probook kutotumika nirekebishe vipi ?

MSAADA WADAU

Nimekwama
kama una uhakika keyboard nzima ingia device manager tafuta keyboard kisha chagua option hizi update, scan au unstall driver kisha restart bila kuchomoa hiyo keyboard kama numlock haikukubali jaribu hii
 
Kuchomoaje Keyboard ?
 
Keyboard imekufa mkuu
Keyboard Inakufaje Namba Za Pembeni Kulia Pekee, SHIFT, Y, T na ENTER ?

Nadhani kuna settings tu hazijakaa sawa.

Mwanzo Num Lock Ndo Ilikuwa Iko ON nimezima lakini bado keys hizo hazifanyi kazi.
 
Mimi nimeshawahi kubadilisha keyboard kama mbili hivi,zinakufa baadhi ya button tu nyingine zinakuwa nzima,chanzo inawezekana keyboard imeingia maji au umeichezea game wakati uwezo wake ni mdogo.
Keyboard Inakufaje Namba Za Pembeni Kulia Pekee, SHIFT, Y, T na ENTER ?

Nadhani kuna settings tu hazijakaa sawa.

Mwanzo Num Lock Ndo Ilikuwa Iko ON nimezima lakini bado keys hizo hazifanyi kazi.
 
Mkuu keyboard ikifa huwa inakuwa na misbehavior za ajabu sana, ila kama uko vizuri kanunue nyingine, yangu ilipokufa ilikuwa kila mara inaji scroll kwenda chini. So kila moja huwa na vituko vyake

Hivi Laptop Hainaga Mambo Ya Ya Ku-restore Factory Settings ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom