Msaada; Num lock imesabaisha baadhi ya keys kwenye HP probook kutotumika nirekebishe vipi ?

Inawezekana mkuu, lakini kwako haita saidia mana siyo ishu ya software, you have hardware issue mkuu, binafsi sikuamini kabisa kuwa keyboard imekufa hivyo nilikuwa nafikiria kama wewe ila eventually nilinunua keyboard mpya.
Hivi Laptop Hainaga Mambo Ya Ya Ku-restore Factory Settings ?
 
Back
Top Bottom