inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 500
- 420
Wadau, hii kero ya mafuta haivumiliki sasa.
Baadhi ya Miji kwa mfano Ifakara, Mafuta ya petroli hayapatikani. Kwenye vituo mafuta yapo ila hawauzi. Matokeo yale kuna misusulu mirefu ya pikipiki, bajaji na magari.
Wauzaji wamejifungia ndani ya vituo. Yakifika magari ya watu wazito mfano askari n.k Wanatoka,wanamuuzia alafu wanarudi kujifungia.
Je, Serikali haioni adha wananchi tunayopata. Mbona jambo hili sasa linataka kuzoeleka?
Jamani msaada, ni nani tumpigie simu atusaidie? Je ni DC, RC, Mkuu wa maafisa usalama au waziri? Mbona naona kitendo hiki ni kucheza na usalama wa nchi?