msaada nokia n900

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Wadau naombeni msaada wenu mnijuze website ambayo nitapata softwera za nokia n900 maana ovi yao haina kitu;nahitaji softwera kama whatap na social network nyngne

Nawasilisha
 
Hivi mkuu nilisikia maemo imekuwa developed from linux, vipi wameamua ipiga chini nini maana naona hawajatoa simu mpya yenye hii os zaidi ya hiyo

Wametoa nyingine sema haiuzwi wanapewa developers jina meisahau ila ina specifics kubwa sana
 
Kwa hiyo developers wanafanya kazi ya kuiboresha na kuitengenezea applications au?
Naona mbele wanazidi poteza soko labda huku kwetu ambapo watu wanakubari sana simu za nokia na wanatumia simu kama simu tu hawaangalii mambo mengne.
 
ss

Dah ni meego kaka nlidhan succssesor ya n900 pia ni maemo ni nokia n950

Ila kaka hii maemo sidhan kama ipo kwa ajili ya watu kawaida ila wenye expirience sana.

Now nokia naona wamebase kwenye hii appolo operating system mpya

Nokia_Lumia_S_concept.jpg

Achana na iphone inayorikod hd ya 1080 hio ni 2160p kama unavoiona
 
kaka hiyo si windows mob, aisee kama kuna os nimetumia na ambayo sitopenda kuwa na simu ina yo run hiyo platform tena ni WMS. Full ku crash kaka, yani nimetumia samsung omnia ikazingua sana mpaka nkaitupa nikaja tumia xperia x2 nayo yale yale. Labda kama ni WMB 8 may be itakuwa poa
 
kwa whatapp suburi kuna third Party application inaitwa wazzap ita fanya sim yako i support whatsapp. Inatarajiwa kurushwa sio muda katikati mwa may. whatsapp wao wamekata kutoa
 
Ajaribu tafta qchat ina whatsapp in it, fb pia na 3rd pard thread sms support
 
ss

Dah ni meego kaka nlidhan succssesor ya n900 pia ni maemo ni nokia n950

Ila kaka hii maemo sidhan kama ipo kwa ajili ya watu kawaida ila wenye expirience sana.

Now nokia naona wamebase kwenye hii appolo operating system mpya

Nokia_Lumia_S_concept.jpg

Achana na iphone inayorikod hd ya 1080 hio ni 2160p kama unavoiona

N9 SIO SUCCESSOR YA N900 BUT MeeGo ndo SUCCESSOR YA Maemo. Ni kama vile ANDROID GINGERBREAD TO ICE CREAM SANDWICH
 
Hujanisoma kaka sijaandika n9 ila wewe ndo umeandika n9 mimi nimeandika n950 ndio successor ya n900 hebu google it uone
 
kaka hiyo si windows mob, aisee kama kuna os nimetumia na ambayo sitopenda kuwa na simu ina yo run hiyo platform tena ni WMS. Full ku crash kaka, yani nimetumia samsung omnia ikazingua sana mpaka nkaitupa nikaja tumia xperia x2 nayo yale yale. Labda kama ni WMB 8 may be itakuwa poa

Usikate tamaa haraka hivyo. Kumbuka Samsung wamejikita zaidi kwenye Android OS na Galaxy line-up zao zinafanya vizuri hadi kutishia kunyang'anya Apple na iPhones zao ufalme. Labda ungejaribu Nokia Lumia mojawapo ambazo zimesifiwa na Microsoft kuwa ndio zimeitendea haki Windows Phone OS yao. Ufanisi kamili unategemea hardware na software.
 
Back
Top Bottom