Msaada:nokia asha 200

Msaada:nokia asha 200

sasa walikushauli nini kifanyike maanakuna moja hiyo iligoma kufungua net afu kesho yake ikapiga kazi fresh ila baada ya muda inagoma na hisi hizi Asha Nokia kabug sana..

Ishu ya internet bug sio nokia am sure 100% bug ipo kwa mitandao ya tanzania.
Hizi simu nokia wamezidesign ukieka line automatic setting zinakaa za internet. Mfano tigo wao wameeka wap setting (ya zaaamni) wakati wap haitumiki kama access point na asha inatumia browser ya ovi inayohitaji access point hapo unakuta simu haiconect net.

Mistake ya nokia ni kuto allow mtu kutengeneza personal configuration kwenye asha series maana mitandao yetu hawajui wafanyalo
 
Nimekupata mkuu,thanks.
 
Back
Top Bottom