Msaada:nokia asha 200 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:nokia asha 200

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mshuza2, Aug 15, 2012.

 1. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Wadau hizi simu za Nokia Asha series ni nzuri, ila nimegundua tatizo katika baadhi ya Application zake,mfano SOCIAL APPLICATION baada ya muda haifanyi kazi,inasema INVALID APPLICATION DELETE? Hata Browser yake pia tatizo ni hilohilo! Tatizo ni nini?
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  tatizo ni memory. Jaribu files nyingi eka katika memory card
   
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni vimeo sana bora ununue simu nyingine kama samsung pocket au ideosi ambazo zinatumia android kama software. Najua Chief utapinga lakini huo ndo ukweli wa mambo
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  unaweza kununua kaka,
  Zipo samsung android za bei rahisi ambazo bei ni juu kidogo ya asha ila usiexpect kuenjoy features za android maana zina weakness hizi hapa

  -camera zake ni 2mp nyingi zao
  -hazi suport flash
  -ram zake ndogo chini ya 256 nyingi 128
  -rangi ni 256k
  -video inachukua 320x240 15fp (very bad quality)
  -haina gprs ina edge na 3g sahau network vijijini maana gprs rulesss in tz
  -havina gorilla glass kikidondoka tu screen inapasuka
  Yani inshort vimetengenezwa cheap kila idara
  [​IMG]

  Tena ukiangalia vina run android ginger 2.3 os kubwa specification ndogo lazma ufanisi ushuke.

  Kapitie pitie kwa mafundi utavikuta kibao
   
 5. i411

  i411 JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Usiwa ogopeshe watu nimemnunulia maza haka kasimu na anaka enjoy kila kitu kinafanya kazi kama advertised by android lakini najua tuu viber ndo haifanyi kazi. applications nyingine zinapiga mzigo kama kawaida, ukiondoa tatizo la batriii inaisha mapema ukitumia maaplication. By the way maza yangu pia anayo asha 200 ndo maana nasema ni vimeo
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  Kwa price ya huyo ni uonevu kumcopare na asha 200 (android ana mdouble asha 200 price)

  Nafkiri eka battle ya huyo na asha 311.
   
 7. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Nilijaribu kupata link ya Nokia applications inaonekana watu wengi wanalalamikia hizi Nokia Asha 200,tatizo ni hilohilo la kugoma kwa baadhi ya applications,nadhani Nokia wakubali udhaifu kwamba kuna tatizo katika software zao,kwani hata ukiflash au uki-restore hazikubali.
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hebu ulizieni simu zenye mashiko sio vimeo lol
   
 9. dri ma

  dri ma Senior Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi pia nna asha yang mwnzon ilikuwa inafungua internet ya tgo ila cku hz inagoma cjui kw nn there must b something wrong wit dis phones kiukwel na hil tatzo co kwng 2 hata kw mshkaj wang pia nae anasuffer same problem so kw wajuz wa mambo 2ambien hi problem inasolvkaje
   
 10. dri ma

  dri ma Senior Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kama uliona hazina mashiko kiherehere gan kiliku2ma kufungua hi segment bwge we..!
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wewe ndio bwge tena kichwa u...ji we simu ya 140,000/= ikuanzishie thread we vipi bana siuuze ununue inayofaa.ziko simu simple sana mfano nokia x2 mbona ni simu bomba tu .funga domo
   
 12. dri ma

  dri ma Senior Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kama uliziona hazna mashiko kiherehere gan kiliku2ma kuifungua hi segment; acha kucomment shudu we
   
 13. dri ma

  dri ma Senior Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sa we kama unaona x2 ndo dil mamb ya hiz asha 2achie wenye nazo co kila segment unatakiwa ucomment punguza umbea kw yacyokuhusu
   
 14. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu,lazima tukubali uwezo tunatofautiana,hao wenye uwezo wa kununua simu za bei mbaya watulie,suala hapa ni ushauri sio kashfa!
   
 15. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  KUMBE IMEKUUMA SABABU UNAYO MKONONI KAZI KWELIKWELI WATU WA AKILI ZAKO TUNAO WACHACHE SANA HASA WANAPATIKANA KULE KARIAKOO SHIMONI teh teh teh
  najua imekuuma meza taratiiiiiiibu safi sana.
   
 16. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi cm ninazo dukani kwangu ni pm, ni 1cm na 2cm samsung ace duos gt6802 420000, na samsung GT6102 ni 320000, na sams champ deluxe ni 155000 zote zinafanya kila kitu
   
 17. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  hizo asha 200 ni za kwanza kabisa even watsapp hazina toleo la mwanzo halikosi makosa. Ila na sisi pia tunapenda download vitu sehemu ambayo sio ovi na kuwatupia lawama nokia mwishon.

  Mi sjawahi kuona app ya s40 ikiwa installed kwenye simu so nahisi pindi unapo open inajitanua utakapoeka app nyingi na kujaza phone memory lazma some zitacorupt na kuandika invalid application thats why nasema bora save kwenye memory card au kama unataka kwenye phone memory beta acha free space kubwa.

  Pia hizi simu zimetoka na screen resoution ya 320x 240 ambayo si kama ile ya zaman ya 240x320 ambayo ndo familiar unapokurupuka na kueka application zisizomatch screen resolution tegemea invalid app
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,800
  Likes Received: 7,124
  Trophy Points: 280
  Wewe je unamiliki simu kutokana na mahitaji yako?

  Kuna watu wana imani kua na simu ya bei ghali ndio ujanja. Kila simu na bei yake na matumizi yake. Mwandishi wa habari vizuri awe na simu yenye camera nzuri na inayorikodi vizuri mwanamuziki better awe na simu version za mziki mpenda magame bora awe na simu ambayo ni game friendly.

  Unaweza kuta wewe una simu ya million then unatumia kuchat msg 100 per day what for???
   
 19. I

  Ismailsimba Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  s40 is the best OS ever, u will only get problems with it, if you dont know how to maintain it. As for all Nokia hardware, i'm sure every 1 would agree they are the best.
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sasa walikushauli nini kifanyike maanakuna moja hiyo iligoma kufungua net afu kesho yake ikapiga kazi fresh ila baada ya muda inagoma na hisi hizi Asha Nokia kabug sana..
   
Loading...