amita bacha
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 180
- 411
- Thread starter
-
- #41
Shukran aisePole sana kwa jino Mkuu,Kwa hapa dar nenda pale Lugalo..KJ kwenye pori pale utazipata nying sana pale na pia hata ukiuliza wakaz wa pale getin watakupa ushirikiano mzuri tu wa kuzipata ndulele,pole sana Mkuu
Nini kazi ya ndulele mkuu? Maana nimezifyeka shambani kwangu juzi tu. Isije ikawa nimeondoa kitu chenye thamani.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele
dawa ya jinoNini kazi ya ndulele mkuu? Maana nimezifyeka shambani kwangu juzi tu. Isije ikawa nimeondoa kitu chenye thamani.
kama utazikosa Lugalo jaribu hata mbezi juu njia ya goba kuanzia baraza la mitihani hukosi hukoKama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele
Nazijua kwa jina la NDULAhahaha umenifurahisha. Nazijua kwa jina la la ndulandula
Sio kweli mkuu, Nyanya chungu inaliwa lakini ndula hailiwiKinachoweza kufanywa na Ndulele pia kinaweza kufanywa na nyanya chungu...
Unafanyaje matumizi yake mkuu??Dawa ya jino sio Mambo ya kiganga ni dawa nzuri sana ya jino linaloanza kutoboka
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele
Maeneo gani kakaZipo kaka nyingi sana
Nitazifungia safari kesho Mungu akipendaMakaburi ya kinondoni
Subiri nikazipitie keshopale garden ya karimjee hall zipo nyingi
Tayari johNakuja kesho Dar ni pm namba yako.
Kwaajili ya meno mkuu,natumai itanisaidia vizuri~ndulele dawa :-
*mafunza miguuni
*inazaidia meno
*ukiwa nayo mfukoni mchawi hafuruti kwako...
Gongo la mboto ni nyingi sanaMaeneo gani kaka
Na shida nazo sana ase
Hii wiki inakatika natafuta tu