Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Habari za siku wataalam,
Nina kisimbuzi cha Dstv kama kinavyoonekana pichani
Mwanzo nilikuwa Napata Sauti kutumia HDMI wire ambao ililazimu ufike kwenye TV kwanza kisha nilichomeka AV wire kutoka kwenye TV mpaka kwenye sabufa ili Sauti niipatie huko kwenye sabufa.
Sasa kwa bahati mbaya TV imepatwa na tatizo na haitoi Sauti kama mwanzo,napata Sauti kwa mbali sana.
Je, naweza kutumia maujanja gani ili nipate Sauti moja kwa moja kutoka kwenye Kisimbuzi kwenda kwenye sabufa Bila kupitia kwenye TV?