Msaada: Ninataka kufuga nyoka, wapi nitaweza kununua au kupata nyoka

Unaroho ngumu vyakufuga vyote hujaviona umeona bora ufuge NYOKA kuliko kuku au mbuzi
 
Hivi jamani hii dhana kwamba nyoka anakula unga je ni kweli ninachojua mimi nyoka anakula wanyama wadogo wadogo kulingana na size yake na pi kula nyoka wenzie, hii ya unga ipo sana kitaa ila sijawahi ona pls kwa anayejua hebu atudadavulie kidogo.
 
Kwa mwili wa nyoka ulivyo na mazingira ya makazi ya watu wengi hayatakua rafiki kwa yeye kukimbizana na panya.
Labda ufuge chatu kwakua ni ambushing predator, lakini kama atategemea ambush tupu unadhani kwa wiki atakamata panya wangapi?
Na pia kwakua nyoka umeng'enyaji wake wa chakula huchukua muda mkubwa (kutegemea na alichokimeza, huweza chukua hata mwezi) hiyo inamaanisha hao panya wataendelea kuzaana kipindi ambacho nyoka anangoja umeng'enyaji umalizike (panya huzaa kipindi chochote hangojei mpaka awe kwenye heat).
Pima vizuri maamuzi yako.
 
Kwann panya wa ndani hawaliwi, maaan kma nilishawahi siiaga hiiikitu
 
Sasa mkuu mtakuwa mnawasiliana vipi???? Maaana afadhari kidogo paka mkabahatisha kuelewana, ila nyoka mkuuuu???? Wewe lengo lako usitembelewe na ndugu, unataka kula wali na samaki kibua peke yako
 
Hawa paka wa siku hizi ni wakibisa kabisa bora nifuge Njerege tuu.

Paka wa siku hizi wamezoea kukaa kwenye masofa wakiangalia Tv alafu panya akipita anaishia kumtazama tuu,
Hahahhaha, yaaan kusoma jf unatakiwa umakini maaana waweza angusha cheko
 
Reactions: Qj_
ushirikina so bure acha kutudanganya[emoji3] [emoji2] [emoji86] [emoji85] [emoji1]
 
Hivi jamani hii dhana kwamba nyoka anakula unga je ni kweli ninachojua mimi nyoka anakula wanyama wadogo wadogo kulingana na size yake na pi kula nyoka wenzie, hii ya unga ipo sana kitaa ila sijawahi ona pls kwa anayejua hebu atudadavulie kidogo.
Unga km wa akina chid, au
 
Kwa nini usitafute a kitten -paka mdogo umfuge afukuze panya? Nyoka wa nini au una agenda nyingine mkuu?
 
Hapana, yaaan cjui nitamzoea vipi huyu jamaaaa nyoka, hiki kiumbe hatar muishi wote ndani kma mbwa????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…