Msaada: Ninataka kufuga nyoka, wapi nitaweza kununua au kupata nyoka

Haupo serious mkuu kama tatizo ni panya na mende tafuta dawa yao
 

Fuga wote, ila sio huyu mwenye mdomo mweusi na kichwa kama jeneza(MAMBA MWEUSI), Siku akikasirika mtaa mzima utahamia kwenye kabati za mochwari.
Kila la kheri nyoka wote wanafugika tu kama paka.
Haha .Huyo siwezi kumfuga mazingira ya nyumbani ,ninawataka wale ambao hawana madhara makubwa na sumu Kali kiongozi
 
Wazo zuri sana hilo,ngoja nikutafutie jamaa yangu mmoja yupo Mwanza yeye hao huwa anawachezea muda wote.
Mwanza mbali sasa nitawapataje kiurahisi,anaweza kuwaleta
 

Fuga wote, ila sio huyu mwenye mdomo mweusi na kichwa kama jeneza(MAMBA MWEUSI), Siku akikasirika mtaa mzima utahamia kwenye kabati za mochwari.
Kila la kheri nyoka wote wanafugika tu kama paka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana dah watu mna maneno eti kichwa kama jeneza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kiongozi kuna nyoka wa aina nyingi ,nyoka wenye madhara makubwa kama cobra ,black mamba siwahitaji

Kuna nyoka ambao wapo friendly na hawana madhara mpaka uwachokoze

Paka wanazingua nimekuwa nao lkn hawana msaada

Nyoka siyo adui na sehemu penye kitoweo kama hvy hatokuwa na shida na MTU
 
Hebu nicheck fasta PM
 
Hawa paka wa siku hizi ni wakibisa kabisa bora nifuge Njerege tuu.

Paka wa siku hizi wamezoea kukaa kwenye masofa wakiangalia Tv alafu panya akipita anaishia kumtazama tuu,
 
Kalibu shy study tour kuna wafugi wengi tu. Hasa kabila la mtukufu ndo wenyewe haswaa
 
Kama kuna zoo wanapatikana maeneo ya Dar naombeni maelekezo niende au kama kuna taasisi yeyote ya nyoka

Nipo bagamoyo kwasasa na njia pekee ya kutatua matatizo haya naona ni nyoka ,nyoka wa kijani ni friendly kwa watu hawana tatizo Na watu

Na nitakuwa muangalifu
 
Hivi unauwezo wa kukaa sebleni na huyo nyoka asiye na madhala mpaka umchokoze
 
Hapana, hii kitu naitamani sana, japo changamoto zipo ila nikipata wataalam nadhani ntaweza kufanikisha...

kazi kwako ila inabidi ufuate utaratibu wa maliasili na pia ukiwa unaishi na familia yako bila wageni itakusaidia sana maana atawakalili wote harufu zenu nje ya hapo kuna siku utakuta shangazi aliyekuja kukusalimia kutoka uyole bila taarifa yuko tumboni mwa chatu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…