Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Nifanikiwe mara ngapi? Ona hata kitanda UMEKISUSA usiku huu, kisa unataka KUKESHA na BAK [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani [emoji23]
Ngoja niende usiku wa manane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Najua una nguvu nyingi za Mungu na nguvu hizo hizo ndiyo zitakusukuma unipe denda kisha tunda lako tamu 😂😂😂😂

Ungejua hapa nipo uweponi...nguvu za Mungu zimefurika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua una nguvu nyingi za Mungu na nguvu hizo hizo ndiyo zitakusukuma unipe denda kisha tunda lako tamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tobaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukija kwangu nakusalisha sala kwanza..nikimaliza tunaanza injili..kufikia hapo mwenyewe lazima ubadili gia angani.
 
Nikajua domo zege ni mimi peke yangu tu kumbe yapo mengi tu..!
BAK hiyo mi reply yote unasubiri nini kwenda piemu..??😅

Uzi wangu mwenyewe lkn naona wake zangu ndo wanabebwa hivyo😎
Najuta kuanzisha hili liuzi vitu vyengine ni upimbi tu..😅
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahah vijana wengi wanakula ugoro Kuna mmoja aliweka akajinyea nilishanga hii stori wenzake walileta kwenye kijiwe chetu cha kusoma magazeti nikajiuliza nimechanism gani ya nguvu ya ajabu namna hiyo.
ugoro unadesturi ya kulegeza misuli yan hta kama hauna mavi mzee we weka ugoro utakunya tu
 
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Simple sana brooo..tumia fomula moja...hakuna kazi rahisi duniani kama KUMTONGOZEA MTU DEMU..yani hta kma ni domo zege KUMTONGOZEA MTU DEMU ni rahisi kuliko ww kumtongoza huyo demu...

sasa fanya kumfata huyo demu then mwambie kuna jamaa ako anamkubali kishenzi..Usiwe serious sanaaaa...unaongea kiutani utani huku ukikazia kinamna flani...mwombe no umpelekee huyo mshkaji( ambae ni ww) akikataa mmpe no amtafute akihitaji kumjua..hapo utakuwa ushapiga Step ya kwanza kubwa sana

mm pia nilikuwaga domo zege ila nikafundishwa hii fomula...yani sa hv najibebea tu..hata manzi awe mkali vp..mimi GIA yangu ni hiyo
 
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
mara nyingi uzuri wa mwili ukuzidi mbunye inakuwa ya kishamba sanaa
 
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Sikushauri ;labda iwe kwa wasichana wote .ukiona hivyo ujue kakuzidi nyota ,ni hatari atakuburuza kwenye mahusiano.
 
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Omba namba yake nitumie wewe nakuita tu kuja kuhunjumula kaka
 
Back
Top Bottom