Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

kumwaga hela kwenyewe pia huwa kuna hitaji strategy stong otherwise waweza kuishia kuchunwa tu kama mbuzi wa kipaimara
😂😂😂Ni sadaka tu mkuu
Et mbuzi ya kipaimara😄😄
 
😂😂😂😂Vichochoroni ndiyo raha uso kwa uso hata kuniangalia usoni huwezi 😜😜😜au utanitolea “Nipe muda nifikirie ombi lako?”

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena vichochoroni ndio kabisa,ukija na vifungu vya maandiko kidogo nitaelewa.
Huo ujasiri sijui unautoa wapi maana mimi huwa Niko siriazi halafu si muongeaji..Hadi mtu kuongea na Mimi anajiuliza Mara mbilimbili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichochoroni ndiyo raha uso kwa uso hata kuniangalia usoni huwezi [emoji12][emoji12][emoji12]au utanitolea “Nipe muda nifikirie ombi lako?”
Nakutolea nje[emoji1787][emoji1787]
Kwanza unanikuta kichochoro gani na wakati mimi si mzururaji kabisa[emoji3]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nunua Vitz mkabidhi funguo, haina haja ya kufungua hata macho
 
Kile cha jirani na kanisani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi utapata ujasiri wa kuongea na mimi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko siriazi Sana..watu wananiogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu kanisani Mara nyingi naongozana na mama[emoji3]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
He he he! Labda unaota..
Mimi naota?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Yaani unikute na lile gauni la Yesu ni mwamba afu wewe uanze shusha bongoflava unadhani nitakusikiliza!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dogo ni kwamba bado hujawa mwanaume, siku ukiwa mwanaume utajikuta umeshabwabwaja mtongozo nonstop.....
 
Hahahah vijana wengi wanakula ugoro Kuna mmoja aliweka akajinyea nilishanga hii stori wenzake walileta kwenye kijiwe chetu cha kusoma magazeti nikajiuliza nimechanism gani ya nguvu ya ajabu namna hiyo.
Nipe namba yake....
Kuna comments zinachekesha aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom