Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] BAK wewe mchawi umekula tunda langu tamu ila please! Usitoe ushuhuda kwenye ule uzi yaishie huku huku uraiani. Ukitoa ushuhuda NITAKUCHUKIA MILELE na sitaongea nawe tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya, lala umalizie hii ndoto yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23]Anne Ni yakweli haya
Tangu lini domo zege amenitongoza Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asiwazibie watu rizki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23]BAK Kaz unayo is like unabet Jaribu tuu
Kabla hajabet ajue alishachana mkeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwambie banaaa asikuzibie riziki yako kwa BAK [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona anataka nizibia bahati zangu huyu na wakati bado Niko bench mama anasubiri nitoke[emoji38]
 
Shauri yako hiyo siku isiyokuwa na jina utasikika ukisema, “Yaani BAK siamini nimekupa denda na dakika chache zijazo nakupa tunda langu tamu, lakini naomba tusali kwanza kwa jina la Yesu.” 😂😂😂

Hivi bado unaendelea kupoteza muda na hii ndoto?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shauri yako hiyo siku isiyokuwa na jina utasikika ukisema, “Yaani BAK siamini nimekupa denda na dakika chache zijazo nakupa tunda langu tamu, lakini naomba tusali kwanza kwa jina la Yesu.” [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huyu?
Huo muda mbona nitakuwa nimemkana Yesu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom