Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Pole sana
 
FB_IMG_15913756465449265.jpg
 
Hii mbona ni kahawa Mimi nimeistukia kitambo

Mtoa mada huwa ana bishana huko na huko katika majukwaa mbali mbali halafu hapa ana jifanya domo zege

Waweza kukuta Pm yake imejaa ..mpaka uwanja wa kuandikia text hakuna
😂😂😂😂
 
Kuna mdau kakushauri umwandikie barua. Hii njia ni murua na ya heshima. Wewe ndiye utakuwa wa kwanza kumfanyia jambo kubwa duniani. Atakupenda sana
 
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
sio udomo zege,wewe ni akili zuzu
 
Ni tamaa tu, ata mimi nilikuwa najuaga nikimpata mwanamke mzuri kushinda wote nitatulia kumbee, ni kwamba tu wanaume hatujui tunachotafuta Kwa wanawake kwasabu mashimo ni yaleyale tu! ukishatambua hilo hakuna mwanamke atakubabaisha yaan, unatongoza kistaa! akikataa namtoa kabisa kwenye akili yangu!
 
Back
Top Bottom