Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,574
- 235,415
Wewe kaa hapa uone mpambanoHahahaha, wewe tayari , labda BAK aamue tu kutoa Moira iwe golikiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kaa hapa uone mpambanoHahahaha, wewe tayari , labda BAK aamue tu kutoa Moira iwe golikiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu tayari, najua hii game si ya siku hz za karibu ila tayari ,ukishindwa walahi nakupa BANNimesema mkeka huu hauna haraka lol! Utasukwa taratibu kimasikhara masikhara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yote yana maua.Lile lenye maua maua na zuri kuliko yote.
Mkuu nakaa pembeni ,nadhani ushajua namna ya kufanya finishing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huyuhuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho utampa Ban mwenzio.Mkuu huyu tayari, najua hii game si ya siku hz za karibu ila tayari ,ukishindwa walahi nakupa BAN
Nadhani umeona ,zile gap pale juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpambano ushaisha huu, km wakali wa fani we mbn tayari siku nyingiWewe kaa hapa uone mpambano
Hahahahawewe huyo huyo utatoa tunda kiulaini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yote yana maua.
Yote mazuri... yaani hakuna baya hata moja..
Yesu ni mwamba ni kiboko.. watu tu hawajui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kaa hapa usubiri kuona unavyoshangazwa
Mimi huyu????Mpambano ushaisha huu, km wakali wa fani we mbn tayari siku nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game si ya Leo, usikaririSasa kaa hapa usubiri kuona unavyoshangazwa
Hilo Sina[emoji23][emoji23][emoji23]Haya basi lile lenye ua la [emoji257]
HahahahaMimi huyu????
Hujanijua vizuri bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kaa hapa usubiri kuona unavyoshangazwa
Nimemruhusu akifanikiwa awaletee ushuhuda.
Mimi huyu????
Hujanijua vizuri bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejua hapa nipo uweponi...nguvu za Mungu zimefurika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko tepe tepe tayari na tabasamu kubwaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemruhusu akifanikiwa awaletee ushuhuda.
Ukifanikiwa nenda katoe ushuhuda kwenye Uzi wenu.wewe huyo huyo utatoa tunda kiulaini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]