Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Ukifanikiwa ruksa kutoa ushuhuda..
Yaani ujue jinsi gani huwezi fanikiwa[emoji23][emoji23]
Mamy usisumbuke na hili zee!
Ameshakula ujana wake huko uzee wake utaubeba..??
Hebu jione huruma tafuta mtu damu imechemka kama mimi!!
Muda wote linahangaika hapa utafikiri piemu haipo😂
 
I don’t KISS AND TELL. I have never that done before in my life [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] that's good[emoji122]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mamy usisumbuke na hili zee!
Ameshakula ujana wake huko uzee wake utaubeba..??
Hebu jione huruma tafuta mtu damu imechemka kama mimi!!
Muda wote linahangaika hapa utafikiri piemu haipo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂😂😂 domo zege kumbe una wivu hivi? Eti tafuta mtu damu imechemka kama MIMI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hutaki BAK afaidi!?

Mamy usisumbuke na hili zee!
Ameshakula ujana wake huko uzee wake utaubeba..??
Hebu jione huruma tafuta mtu damu imechemka kama mimi!!
Muda wote linahangaika hapa utafikiri piemu haipo😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] domo zege kumbe una wivu hivi? Eti tafuta mtu damu imechemka kama MIMI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hutaki BAK afaidi!?
BAK unajiunga jf Mimi namaliza std7
 
Una namba zake za simu zilizopo whatsapp na wewe upo whatsapp tukuope maujanja ya kumuanza halafu uone atakavyojiongeza kwa asilimia kubwa bila hata wewe kutegemea ?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 domo zege kumbe una wivu hivi? Eti tafuta mtu damu imechemka kama MIMI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hutaki BAK afaidi!?
Taarifa nilishatoa hapo kabla huwezi shindana hapa maana propaganda aziweza,ngumi niko vizuri..
Tatizo langu ni ana kwa ana tu..😂

Hivi tu umeshaanza kuloa ndevu nichomoe kombora lengine ili nimalize mchezo au nikustahi tu!!😅
Wewe sio wa kufaidi tena bali wa kupambana na hali yako usije mtisha mtoto wa watu kwa mapengo yako uliyoyasitiri kwa meno bandia..😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 domo zege banaaa

Mimi ndimi nitakuvika nishani ya Mapenzi achana na huyu mzee atakuvika nishani ya mapengo bure..

Sio tu hawezi kukununulia hata gauni lako la yesu ndie mwamba!, Bali hata kukufunga zipu ya gauni hilo itakuwa ni mtihani kwake..

Nishukie kipenzi,nikuonyeshe utenzi
Njoo kwa kenzy,nikupe Mapenzi..😉

Nitakaba kabali,watakuona kwa mbali
Utakuwa wa halali,utakula vidali..

Ndimi wako wakili nipe nikusitiri..
 
😂😂😂😂😂 uzi ulikuwa kuhusu udomo zege wako wa huyo mrembo aliyeumbwa akaumbika.

Sasa umeona kuna kuna kila dalili za BAK kupewa tunda tamu KIMASIKHARA MASIKHARA ukaanza kulia WIVU oh! Niambie kama the deal is done😳😳😳usiponiambia wewe yeye ataniambia 😂😂

Ghafla bin VU umejirudisha tena WIVU DEBE
😂😂😂😂😂😂

Kumbe huu uzi ulianzisha kumuumiza huyo mrembo ambaye kutokana na domo zege lako bado hujaona ndani 😂😂😂😂😂😂

Haya shusha mashairi yako labda safari hii utafanikiwa kupewa tunda tamu
🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom