Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

😂😂😂😂lazima nikuulize umejuaje na wangap umewabaka
"Kunalile swali la unataka kufanya Nini🤷
nimejua baada ya kuamua kufanya utafiti na mbinu niliyokuwa na itumia ni kuwapiga watu chabo
 
Ngoja nianze kukupangia mistari MTAKATIFU Anne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu nisipomkubali,hata aipange mistari vipi atajichosha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mfundisheni mwenzenu basi jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimejua baada ya kuamua kufanya utafiti na mbinu niliyokuwa na itumia ni kuwapiga watu chabo
kumwaga hela kwenyewe pia huwa kuna hitaji strategy stong otherwise waweza kuishia kuchunwa tu kama mbuzi wa kipaimara
 
Au unataka nikutokee na mashairi? 😂😂😂

Mimi mtu nisipomkubali,hata aipange mistari vipi atajichosha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mfundisheni mwenzenu basi jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mtu nisipomkubali,hata aipange mistari vipi atajichosha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mfundisheni mwenzenu basi jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri kwangu huruki viunzi..😉😂
 
WEKA UGORO KWENYE DOMO HILO UTAONGEA MWENYEWE
Hahahah vijana wengi wanakula ugoro Kuna mmoja aliweka akajinyea nilishanga hii stori wenzake walileta kwenye kijiwe chetu cha kusoma magazeti nikajiuliza nimechanism gani ya nguvu ya ajabu namna hiyo.
 
😂😂😂😂😂 unasema tu hadharani hapa lol! Nikikuvizia kichochoroni hata nguvu ya kuchomoa utakuwa huna bali kubaki kurembua tu. Haya BAK nimekubali ombi lako 😜😜😜😜

Nakuchomolea na mashairi yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda uje na mashairi ya Biblia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unasema tu hadharani hapa lol! Nikikuvizia kichochoroni hata nguvu ya kuchomoa utakuwa huna bali kubaki kurembua tu. Haya BAK nimekubali ombi lako [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena vichochoroni ndio kabisa,ukija na vifungu vya maandiko kidogo nitaelewa.
Huo ujasiri sijui unautoa wapi maana mimi huwa Niko siriazi halafu si muongeaji..Hadi mtu kuongea na Mimi anajiuliza Mara mbilimbili.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom