Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

M

mapunda1970

Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
52
Points
125
M

mapunda1970

Member
Joined Jan 21, 2017
52 125
Asante nitajitahidi ila hujaniambia ni specialist wa nn?
Umesema kuwa unahisi mishipa ya fahamu. .. huyo ndo mtaalamu
Nimeanza kuhisi kuwa yawezekana kuwa tatizo langu sio la macho wala masikio Bali yawezekana linahusiana na mjshipa ya fahamu so maybe kama kuna specialist wa nerves huyo na anaweza kunifaa zaidi.
 
Jr. Gong Mira

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Messages
1,070
Points
2,000
Jr. Gong Mira

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2017
1,070 2,000
Pole xn Mwenyezi Mungu atakujaalia utapona
 
Bacyclerbacy

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Messages
1,646
Points
2,000
Bacyclerbacy

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2016
1,646 2,000
Nilishajiribu kwenda hospitali baadhi ya hospitali km vile CCBRT,Hindu Mandal but I wasn't satisfied with the treatment at all and my condition is still the same.
Mh poule Sanaa
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,922
Points
2,000
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,922 2,000
Pole sana! Vipi umeshapata suluhisho la tatizo lako?
 
TAJIRI MSOMI

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
353
Points
500
TAJIRI MSOMI

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
353 500
Pole sana mkuu,Mungu akusaidie upone, Mimi ninatatizo la kutokuona vema pia na mishipa kuuma sana ya kichwa, niliende pale International eye Hospital morocco Dr aliniambia ninatatizo la Glaucoma (Pressure ya macho) but alishagaa sana coz umri wangu ni mdogo na glaucoma huwapata watu wazima (angalau kuanzia miaka 50 kwenda juu),pia kama kwenye ukoo kuna mtu mwenye tatizo hilo but kwa upande wangu hayupo nimetrack hadi kizazi cha tatu back sijaona.Dr. alinipa dawa eye drop nimetumia kama miezi 10 hiv but tatizo lipo palepale, na nikienda kwa dr.anasema pressure imeshuka ipo normal now ila bado sijapona.Nakushauri mkuu uende hapo Internaltional Eye hospital, fanya vipimo vya damu pamoja na nerve,I'm also planning kufanya hivyo
 
scorpio me

scorpio me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
5,488
Points
2,000
scorpio me

scorpio me

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
5,488 2,000
Very sure bro coz always when I remember my old days na ss hv sometym nakosa furaha,inafikia point hadi nawakwepa watu ili mradi nisiongee nao coz siwasikii vizuri.
Pole sana sweety...Mungu wetu ni mwanaminifu...hakuna ashindwalo...atakuponya tu...nasi tutakukumbuka kune maombi...
 
scorpio me

scorpio me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
5,488
Points
2,000
scorpio me

scorpio me

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
5,488 2,000
Pole sana mkuu,Mungu akusaidie upone, Mimi ninatatizo la kutokuona vema pia na mishipa kuuma sana ya kichwa, niliende pale International eye Hospital morocco Dr aliniambia ninatatizo la Glaucoma (Pressure ya macho) but alishagaa sana coz umri wangu ni mdogo na glaucoma huwapata watu wazima (angalau kuanzia miaka 50 kwenda juu),pia kama kwenye ukoo kuna mtu mwenye tatizo hilo but kwa upande wangu hayupo nimetrack hadi kizazi cha tatu back sijaona.Dr. alinipa dawa eye drop nimetumia kama miezi 10 hiv but tatizo lipo palepale, na nikienda kwa dr.anasema pressure imeshuka ipo normal now ila bado sijapona.Nakushauri mkuu uende hapo Internaltional Eye hospital, fanya vipimo vya damu pamoja na nerve,I'm also planning kufanya hivyo
sasa kama wewe umeenda na hujapona...why unamshauri nae aende?
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
6,418
Points
2,000
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
6,418 2,000
Acha utapeli wewe mwache mwenzako atafute tiba.
Pole sana ndugu.
Kwa Yesu kuna uponyaji wa kweli wanaposhindwa madakitari wa elimu dunia YESU hashindwi

Nakuomba uje ktk ibada upokee uponyaji wako utaombewa na utapona.

Kama upo Dar nijurishe pm ili nikuelekeze pahali pa kufanyiwa maombi upone.
 
Forum statistics

Threads 1,343,067
Members 514,915
Posts 32,772,655
Top