Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

Pole sana! Vipi umeshapata suluhisho la tatizo lako?
 
Pole sana mkuu,Mungu akusaidie upone, Mimi ninatatizo la kutokuona vema pia na mishipa kuuma sana ya kichwa, niliende pale International eye Hospital morocco Dr aliniambia ninatatizo la Glaucoma (Pressure ya macho) but alishagaa sana coz umri wangu ni mdogo na glaucoma huwapata watu wazima (angalau kuanzia miaka 50 kwenda juu),pia kama kwenye ukoo kuna mtu mwenye tatizo hilo but kwa upande wangu hayupo nimetrack hadi kizazi cha tatu back sijaona.Dr. alinipa dawa eye drop nimetumia kama miezi 10 hiv but tatizo lipo palepale, na nikienda kwa dr.anasema pressure imeshuka ipo normal now ila bado sijapona.Nakushauri mkuu uende hapo Internaltional Eye hospital, fanya vipimo vya damu pamoja na nerve,I'm also planning kufanya hivyo
 
Very sure bro coz always when I remember my old days na ss hv sometym nakosa furaha,inafikia point hadi nawakwepa watu ili mradi nisiongee nao coz siwasikii vizuri.
Pole sana sweety...Mungu wetu ni mwanaminifu...hakuna ashindwalo...atakuponya tu...nasi tutakukumbuka kune maombi...
 
Pole sana mkuu,Mungu akusaidie upone, Mimi ninatatizo la kutokuona vema pia na mishipa kuuma sana ya kichwa, niliende pale International eye Hospital morocco Dr aliniambia ninatatizo la Glaucoma (Pressure ya macho) but alishagaa sana coz umri wangu ni mdogo na glaucoma huwapata watu wazima (angalau kuanzia miaka 50 kwenda juu),pia kama kwenye ukoo kuna mtu mwenye tatizo hilo but kwa upande wangu hayupo nimetrack hadi kizazi cha tatu back sijaona.Dr. alinipa dawa eye drop nimetumia kama miezi 10 hiv but tatizo lipo palepale, na nikienda kwa dr.anasema pressure imeshuka ipo normal now ila bado sijapona.Nakushauri mkuu uende hapo Internaltional Eye hospital, fanya vipimo vya damu pamoja na nerve,I'm also planning kufanya hivyo
sasa kama wewe umeenda na hujapona...why unamshauri nae aende?
 
Acha utapeli wewe mwache mwenzako atafute tiba.
Pole sana ndugu.
Kwa Yesu kuna uponyaji wa kweli wanaposhindwa madakitari wa elimu dunia YESU hashindwi

Nakuomba uje ktk ibada upokee uponyaji wako utaombewa na utapona.

Kama upo Dar nijurishe pm ili nikuelekeze pahali pa kufanyiwa maombi upone.
 
Ni miaka saba sasa imepita tangu nipate tatizo hili la kuona na kusikia,macho yangu hayana maumivu ya aina yoyote, hayawashi, hayachomi wala hayanisumbui kwa chochote isipokuwa kutoona vizuri.

Masikio yenyewe hunipa usumbufu wa kutoa mwangwi ndani yake (yaani nikiongea najisikia) hasa naposimama kwa muda mrefu, napotembea juani sana, ninapokuwa na njaa ila nikikaa chini mwangwi hupotea au ninapogeuza shingo.

Matatizo mengine yanayoambatana na hili ni kupatwa na ganzi ktk ncha za vidole vyote vya mikono, Kukosa balance napokuwa natembea pamoja na kutokuwa na nguvu ya kutosha ya mwili.

TAFADHALI KAMA KUNA MWENYE UELEWA AU DAKTARI BINGWA NAOMBA MSAADA KUJUA TATIZO LANGU LINATIBIKA AU LA.

Mtafute Dr EDWIN muhimbili mtaalam wa vifaa vya masikio.... nadhani na macho pia
 
Mkuu.

Ulikua unapepesuka, maskikio kuuma na uhafifu wa macho. Kama ndio ulitumia tiba ipi
Ni maelezo marefu kidogo labda tuzungumze kwa simu manake kuandika yote hayo siwezi labda nikuPM namba tuongee vizuri.....
 
Mtafute Dr EDWIN muhimbili mtaalam wa vifaa vya masikio.... nadhani na macho pia
Dah asante mkuu nimeisave number nitamcheki

Unajua uzi huu nilishausahau ndo maana kidogo nilishaa ile number ulivyonitumia nikawa siielewi ikabidi nije niufukue kwanza huu uzi
 
Hapana mimi sisikii ganzi...
Nimerudi wakuj,
Vp nawe una uono hafifu na usikivu mdogo mkuu km mm?

Dah mi hadi nilishaizoe hali hii yaani mtu akinipigia simu namwambia nipo kwenye kelele tuma msg au km vp nitafute usiku pakiwa pametulia.
Maana nilikuwa najipa stress ss nimeshazoea na ninaongea na watu wanaonielewa hali yangu wale wenzangu na mm wanaokereka ukiwa unaitikaitika kutokana na kutomsikia vizuri na wkt umeshamwambia una tatizo flani huwa sipendi hata kuwa nao karibu.

Maisha lazima yaendelee as long bado tunapumua.
 
Yes,mimi nina usikivu mdogo na macho yangu hayaoni vizuri nikisoma,kwahiyo navaa miwani.Ukweli maisha haya yana changamoto nyingi sana,kuna wakati inabidi uwe mpole na kukaa kimya kwani unaweza kujikuta unachangia kitu kisichokuwepo,vitu kama mitandao vimenisaidia sana kuniondolea upweke especially inapotokea kuna watu wanaongea jambo na mimi siwasikii...
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom