Msaada: Nimewekewa "tego", jogoo anawika kwake tu

Mkuu punguza jazba,, ndugu yetu asaidike...

Kutokwenda mnara ni adhabu kali sana, haiendani na kosa lake.... mbona hujamzingumzia Binti mwenzio aliyekitoa huku akijua kina mwenyewe.
Huyo ngedere achana nae ana stress za kuzalishwa na kutelekezwa anataka apunguzie kwangu hasira
 
Salamu wa ndugu.

Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya mwezi mmoja.

Ila kila napokutana na msichana tofauti na yeye nashindwa kusimamisha kabisa nimefanya hivyo kwa wasichana wa tatu ila hali inakua vile vile ila nikirudi kwake nakuwa na nguvu zisizokuwa za kawaida yaani tunaweza fanya mapenzi usiku kucha.

Jana nilikuwa nataka nikaongee nae nimwambie ukweli ikiwezekana nimpige kibuti na mimba nimwambia aitoe ila kuna jamaa yangu kanambia nitulie kwanza tutafute suluhisho la hili tatizo.

Naombeni mnisaidie ndugu maana hapo nyuma sikuwa na tatizo kabisa yaani inaniuma nimebaki na mawazo lukuki. Ukizingatia kuna mdada mmoja tulie kuwa tumepanga nimuoe ila hiyo hali imenikuta kwake zaidi ya mara mbili hapa nilipo nimeshindwa cha kufanya.

Natanguliza shukrani

Nyege zako tu, ukizaa na mtu we mwoe, haya maisha sio marefu kama mnavyowaza, ukifanikiwa kumpa mtu mimba jitahidi kumuoa.
 
Sasa cha muhimu hapo ni kukutana naye huyo ukamwambie ukweli ili upate msaada mapema kwani ukienda kutafuta suluhisho lingie sio vibaya lakini jambo la busara unge elewana na huyo kwanza
 
Nilianzisha mahusiano nae tangu mwezi wa kwanza Sasa hivi tayari ana mimba yangu ya mwezi mmoja........Mleta Uzi jipige kifuani sema Mimi Ni Mwambaaaa!
 
Nyege zako tu, ukizaa na mtu we mwoe, haya maisha sio marefu kama mnavyowaza, ukifanikiwa kumpa mtu mimba jitahidi kumuoa.
Mkuu nadhani kuoa sio muhimu,, muhimu alee mtoto aliomleta Duniani,,, KUOA kwa kijana wa sasa, tena kisa tu katia mimba hapo unakuwa unampa mtu gunia la misumari,,, Ndoa hio haitadumu kabisa..

Ukitia mimba,,, Kijana hakikisha unalea mtoto toka day One hadi unapoondoka kwenye Dunia.

KUOA ni at your own Risk
 
Hehehe dada wa watu katongozwa naye. Huyu me asingetongoza walaaa asingefwatwa

Wewe kila anaekutongoza huwa unakubali mkuu..??? kama jibu ni NDIO usiendelee kusoma.

kama Jibu ni hapana. Kwanini hujaona kama hata huyo demu alikuwa na uwezo wa kusema hapana,,,? hayo ni matokeo ya makubaliano ya watu wawili.

Adhabu ya kulaza mnara wa kijana mwenzetu ni kubwa mno...
 
Mkuu nadhani kuoa sio muhimu,, muhimu alee mtoto aliomleta Duniani,,, KUOA kwa kijana wa sasa, tena kisa tu katia mimba hapo unakuwa unampa mtu gunia la misumari,,, Ndoa hio haitadumu kabisa..

Ukitia mimba,,, Kijana hakikisha unalea mtoto toka day One hadi unapoondoka kwenye Dunia.

KUOA ni at your own Risk

Ukikua utanielewa
 
Hii ishu ni kweli aisee,hata wadada wanawekewa sana na wanaume,nilikutana na dada mmoja alikua anakuja kujumua bidhaa dukani,tukazoeana sana,siku nimepanga niende kula mzigo jogoo kagoma,nakaona labda nina tatzo nikaenda kwa mtu mwingine siku hiyo hiyo jogoo safi.nikapanga siku nyingine tuonane mambo yakawa yale yale,tangu siku ile sikumrudia tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom