Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
Dah nimecheka kweli? anyways je asubuhi kitu kinasimama au vipi,usikimbilie nguvu za giza
Kuloweka rahaaa eeeeh[emoji2]Tanzania Ni Ngumu Sana Na Kuloweka Ni Tabu
Pole Kwa Kudondosha Mnara Yaani Network Unaipata Sehemu Moja
Imemkuta Jamaa Yangu Alikuwa Dar Es Salaam Akahamia Dodoma
Akapata Mrangi Chang'ombe Huko Dodoma Akaloweka Sana
Ila Akirudi Dar Es Salaam Kwa Mkewe Network Search.......
Loading.........
Akajua Oops!! Business Digenda Short, Akirudi Kwa Mrangi Anapata 4G Nzuri
Akawaona Wajuzi Wa Dodoma Wakamsaidia Kuondoa Tatizo Sasa Hivi
Yupo Vizuri Njia Yote Anapata Full Network
Imebidi Amwache Yule Mrangi
KULOWEKA Oops!!
[emoji1787] simpatii picha jamaanigga on panic mode[emoji23][emoji23][emoji23]
DUUH kwahiyo unaishi na mchawiSalamu wa ndugu.
Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie.
Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya mwezi mmoja.
Ila kila napokutana na msichana tofauti na yeye nashindwa kusimamisha kabisa nimefanya hivyo kwa wasichana wa tatu ila hali inakua vile vile.
Ila nikirudi kwake nakuwa na nguvu zisizokuwa za kawaida yaani tunaweza fanya mapenzi usiku kucha.
Jana nilikuwa nataka nikaongee nae nimwambie ukweli ikiwezekana nimpige kibuti na mimba nimwambia aitoe ila kuna jamaa yangu kanambia nitulie kwanza tutafute suluhisho la hili tatizo.
Naombeni mnisaidie ndugu maana hapo nyuma sikuwa na tatizo kabisa yaani inaniuma nimebaki na mawazo lukuki.
Ukizingatia kuna mdada mmoja tulie kuwa tumepanga nimuoe ila hiyo hali imenikuta kwake zaidi ya mara mbili hapa nilipo nimeshindwa cha kufanya.
Natanguliza shukrani
Dawa nawe muwekee chura tumboni awe anarukaruka tuSalamu wa ndugu.

Sema sio uchawi wala nn mazoe changanya na hofuHaya mambo kumbe yapo kweli aisee?
PoleSalamu wa ndugu.
Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie.
Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya mwezi mmoja.
Ila kila napokutana na msichana tofauti na yeye nashindwa kusimamisha kabisa nimefanya hivyo kwa wasichana wa tatu ila hali inakua vile vile.
Ila nikirudi kwake nakuwa na nguvu zisizokuwa za kawaida yaani tunaweza fanya mapenzi usiku kucha.
Jana nilikuwa nataka nikaongee nae nimwambie ukweli ikiwezekana nimpige kibuti na mimba nimwambia aitoe ila kuna jamaa yangu kanambia nitulie kwanza tutafute suluhisho la hili tatizo.
Naombeni mnisaidie ndugu maana hapo nyuma sikuwa na tatizo kabisa yaani inaniuma nimebaki na mawazo lukuki.
Ukizingatia kuna mdada mmoja tulie kuwa tumepanga nimuoe ila hiyo hali imenikuta kwake zaidi ya mara mbili hapa nilipo nimeshindwa cha kufanya.
Natanguliza shukrani
Wewe unaonaje?mbona hasira hivyo dada au nawewe ni single mother.
Mimi sina cha kukushauri sana sana nakuwekea tu wimbo unaoendana na hali unayopitia.