Msaada: Nimewekewa "tego", jogoo anawika kwake tu

Salamu wa ndugu.

Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya mwezi mmoja.

Ila kila napokutana na msichana tofauti na yeye nashindwa kusimamisha kabisa nimefanya hivyo kwa wasichana wa tatu ila hali inakua vile vile ila nikirudi kwake nakuwa na nguvu zisizokuwa za kawaida yaani tunaweza fanya mapenzi usiku kucha.

Jana nilikuwa nataka nikaongee nae nimwambie ukweli ikiwezekana nimpige kibuti na mimba nimwambia aitoe ila kuna jamaa yangu kanambia nitulie kwanza tutafute suluhisho la hili tatizo.

Naombeni mnisaidie ndugu maana hapo nyuma sikuwa na tatizo kabisa yaani inaniuma nimebaki na mawazo lukuki. Ukizingatia kuna mdada mmoja tulie kuwa tumepanga nimuoe ila hiyo hali imenikuta kwake zaidi ya mara mbili hapa nilipo nimeshindwa cha kufanya.

Natanguliza shukrani
Kula Jehuri yako ndugu. Kama Ameweza Kukufanyia Hilo Jua Anamakombora ya Russia zaidi ya Hilo. Lete Ujinga Uwe una Okota Makopo barabarani
 
Naombeni mwenye kuweza kunisaidia anipe msaada jamani, Hali naona sio nzuri
 
Naendelea kupokea mbinu mbali mbali ili niweze kuitokomeza hii hali.
Imagine simetimes nilikuwa naamka asubuh nimesimamisha hadi balls zinaniuma eti leo siku ya tatu ngoma imelala
 
Naendelea kupokea mbinu mbali mbali ili niweze kuitokomeza hii hali.
Imagine simetimes nilikuwa naamka asubuh nimesimamisha hadi balls zinaniuma eti leo siku ya tatu ngoma imelala
Dah pole sana kiongozi mwanaume yeyote angekua kwenye nafasi yako asingetulia hadi apate ufumbuzi wa tatizo, ningekusaidia kuna mambo yamenibana kwasasa ila ukikwama kabisa mbinu utazoelekezwa humu nipm labda tunaweza pata ufumbuzi kama upo maana inategemea na kitu alichofanya na alifanyia wapi na kwa namna gani. La muhimu kama huyo bint ni gwiji tegema umeanza vita rasmi hivyo uwe tayari tayari kuweka vikwazo au kujihami na makombora atayokuagizia
 
sawa ndugu nitakutafuta
 
Naendelea kupokea mbinu mbali mbali ili niweze kuitokomeza hii hali.
Imagine simetimes nilikuwa naamka asubuh nimesimamisha hadi balls zinaniuma eti leo siku ya tatu ngoma imelala
Kamanda,alichofanya huyo dada ni hiki, wakati mlipomaliza kufanya majamboz yenu,aliochukua kitambaa akakufuta penis yako halafu akakufuta na vagina yake,baada ya hapo akachukua kitambaa akafunha mafundo matatu huku alinuia kwamba usisimishe dyudyu kwa yeyote, zaidi ya kwake tu.huo ni bonge la uchawi,kina lake nimeusahau.
SULUHU yake ni kupata kile kitambaa,sijui amehifadhi wapi na ufungue Yale mafundo, vinginevyo ndo imetoka Tena.
TAHADHARi,kwa sisi wanaume wote,ukienda kumkula Dem,usikubali akufute na kitambaa chake mkimaliza,kataa na kimbia sanaaaaaa,mwambie utajifuta mwenyewe,ukikubali umekwisha,itakua kma jamaa huyo.nimeshatoa SoMo,msinilaumu masela wenzangu
 
Ukitaka network yako irudi jaribu kufanya ivi kaa mbali sana na huyo demu tena usifanye mawasiliano naye ya aina yyote kwa muda mrefu hlf lete mrejesho hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom