Msaada: Nimetengwa kijamii

Msaada: Nimetengwa kijamii

Nenda kwa mbowe ukamshitakie otherwise kubaliana na nduguzo maisha yaendelee..Point to note.Huko chadema umenufaika nn?.all in all politics = ****'n game
Pia mkuu sishangai hata kidogo maana mlivyo na uchu kama fisi maji naamin mtanichukia sana ila hayo ndo mapenzi yangu na nafurahi mno sababu ni chaguo la moyo wangu.
Inatosha...
 
Anza kupenda kwanza watu wewe Mwenyewe na wao watakupenda hata kama umechafuliwa vipi waprove wrong kwa kuwa positive na jamii itarespond positively, achana na misimamo isiyokuwa na faida katika jamii zaidi ya kukufanya uonekani kuwa ni Psycho, inaonekana uko sensitive sana na weak kuruhusu kuwa affected na watu

Note: ukishirikiana nao watashirikiana na wewe, huwezi jiskia kuwa unanuka mpaka mwenzio akunuse akwambie, hata kichaa hajui kama yeye ni kichaa, kuwa open minded ruhusu akili yako kubadilika

Kwa mengi zaidi nifuate inbox.
 
Ukweli usopingika haipo na haitatokea jamii ya kumtenga mtu bila tatzo! Ila wewe unadharau kinachokutenganisha na ndugu refer wapi wapi umetoka na mliishije kabla ya kufikia hatua hii? Punguza kuwa mjuaji,shiriki matatizo ya nduguzako,pia kua na tabia ya kiushirikeli ila pole kwa hayo ! Usilaumu ulipodondokea bali laumu ulipojikwaaaa!
 
Achana nao! Njoo Kijenge juu Arusha kwa Watengwa tule Hip Hop kavu!!
 
Ukweli usopingika haipo na haitatokea jamii ya kumtenga mtu bila tatzo! Ila wewe unadharau kinachokutenganisha na ndugu refer wapi wapi umetoka na mliishije kabla ya kufikia hatua hii? Punguza kuwa mjuaji,shiriki matatizo ya nduguzako,pia kua na tabia ya kiushirikeli ila pole kwa hayo ! Usilaumu ulipodondokea bali laumu ulipojikwaaaa!
Kuhus dharau sidhani mm naona ni chuki binafsi kwamba unapokua sahihi watu wanaogopa kujisahihisha hivyo wanakaza ili wasionekane loser.
Mimi ni open mkuu huwaga sifichi kitu wala kuweka chuki moyoni. Mm nikimind nime mind watakao sema na dharau its okay i dont care mradi nafahamu nipo sahihi.

Umesahau jamii nyingi za kibongo hazitakagi kujishusha hata kama zimekosea?
 
Ukweli usopingika haipo na haitatokea jamii ya kumtenga mtu bila tatzo! Ila wewe unadharau kinachokutenganisha na ndugu refer wapi wapi umetoka na mliishije kabla ya kufikia hatua hii? Punguza kuwa mjuaji,shiriki matatizo ya nduguzako,pia kua na tabia ya kiushirikeli ila pole kwa hayo ! Usilaumu ulipodondokea bali laumu ulipojikwaaaa!
Kwa maana hiyo kikwazo ni misimayo yangu isiyoyumba.
 
Habari za wasaa huu wandugu,

Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii.Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.

Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.
Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.

Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?

Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.

Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe ccm ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania ili kuepusha chuki na watu nitakapokua upande wangu. Kwa msimamo wangu huo mengi yametokea na moja wapo ni hili la kutengwa, habari zangu za siri kuwa public na kadhia nyingi sana.
Nadhani misimamo yangu hii ndio chanzo cha yote haya...

Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.

Naombeni ushauri wenu ili niweze kuepukana na hii hali.

Kama hela unayo hakuna tatizo mkuu.kufa kila mtu atakufa,hata huyo adui yako pia atakufa siku yake
 
Haiwezekani huna baya lolote alafu watu wakutenge mkuu, lazima kuna chanzo hapo. Muhimu jirekebishe, kama kuna pa kuomba msamaha/palipo haribika basi fanya hvyo ili utengeneze
 
Haiwezekani huna baya lolote alafu watu wakutenge mkuu, lazima kuna chanzo hapo. Muhimu jirekebishe, kama kuna pa kuomba msamaha/palipo haribika basi fanya hvyo ili utengeneze
Ningeshaomba zamani mkuu.
Kama nilivyosema kwenye mada mimi sina tatizo na mtu na nilishaletega tena mada huku nikasema kama kuna mtu ana tatizo na mimi ni bora tukae tuongee kila mtu aishi kwa amani.
 
Msichukulie mtu kujidefence kama mjuaji, ana dharau, kiburi n.k no sipo hivo mm nachotaka nisonge mbele nishapoteza mda sana sijafanya la maana maishani zaidi ya kadhia tuu.
Au labda kama mnafurahia kuwarudisha watu nyuma muweke wazi tujue moja.
Mtu akileta malalamiko hivi mnasema anampangia mkubwa sasa kama ni hivo hizo sheria za nchi kazifungieni kabatini.
 
1.Tafuta upendo wa [HASHTAG]#yesu[/HASHTAG] mean kama umeqakosea tubu kwa Mungu
2.tafuta pesa
Inavoonesha unawategemea kiuchumi kama sikosei
 
Back
Top Bottom