Msaada: Nimetengwa kijamii

Msaada: Nimetengwa kijamii

1.Tafuta upendo wa [HASHTAG]#yesu[/HASHTAG] mean kama umeqakosea tubu kwa Mungu
2.tafuta pesa
Inavoonesha unawategemea kiuchumi kama sikosei
Hapana mkuu nimeshauriwa na wadau hapa niache kutegemea watu hata kama ni ndugu, so ni mimi na Mungu wangu tuu now.
Pesa nakotafuta kunatiwa propaganda hata sifanikiwi
 
Hapana mkuu nimeshauriwa na wadau hapa niache kutegemea watu hata kama ni ndugu, so ni mimi na Mungu wangu tuu now.
Pesa nakotafuta kunatiwa propaganda hata sifanikiwi[/QUOTE
Pole mkuu mimi nwomba nikushauli kiroho zaidi
Nenda kaonane na wachungaji wa kiroho upate msaada kiroho na kimwili pia unaweza kutafuta kazi nyingine tofauti na hyo ingawa sikujui zaidi
Unajua Mungu hamtupi mja wake ila kamilisha wajibu wako kwa Mungu nae akamilishe kwako
 
usiposema ukweli utaishia kulalamika na kupewa pole tu. sasa hutaki kushare kilichokupata tutakusaidiaje? nenda police au mahakamani
Atasema wanajf wamemtenga vilevile
 
Habari za wasaa huu wandugu,

Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii.Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.

Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.
Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.

Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?

Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.

Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe ccm ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania ili kuepusha chuki na watu nitakapokua upande wangu. Kwa msimamo wangu huo mengi yametokea na moja wapo ni hili la kutengwa, habari zangu za siri kuwa public na kadhia nyingi sana.
Nadhani misimamo yangu hii ndio chanzo cha yote haya...

Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.

Naombeni ushauri wenu ili niweze kuepukana na hii hali.
Mtumaini Mungu pekee na wale isitokee ukakubali shawaishiwa kuamini kitu kingine ili ufanikiwe.
Nguvu za kukuzuia wewe usifanikiwe hazitadumu milele,nàamini mwisho wako utakuwa mzuri
 
Mtumaini Mungu pekee na wale isitokee ukakubali shawaishiwa kuamini kitu kingine ili ufanikiwe.
Nguvu za kukuzuia wewe usifanikiwe hazitadumu milele,nàamini mwisho wako utakuwa mzuri
Nashukuru sana mkuu wanasema utazuia vyote lakini huwezi zuia rizki ya mtu.
 
Back
Top Bottom