Msaada: Nimetengwa kijamii

Msaada: Nimetengwa kijamii

Wewe tatizi ni vicheche viwili angalau ungekuwa kicheche
Yaani vicheche hata sisi tutakutenga

Cha msingi ndugu zako ni ccm na wewe ukakimbilia chadema
Harafu unawakashifu weeee
Cha msingi rudi ccm
 
Una tatizo la kutengwa kwakua hauko open. Naamini utazidi kutengwa zaidi kwa hii tabia yako. Una tatizo kubwa
 
tatizo lako hata sisi tunaliona, hutaki kusema ni nini chanzo, umetengwa na jamii lakini si JAMII FORUMS funguka upate ushauri, usifiche sababu ya wewe kutengwa
Hakuna sababu mm nilijishtukia tuu sipo na wenzangu kama ilivyo kawaida.
 
Mkuu kuna jambo nahis ni vigum kutengwa na ndugu, jamaa na marafiki nahic wewe utakuwa na matatizo kama umewakosea waombe msamaha ,Neno samahani ni dogo sana lakini lina nguvu sana siyo kawaida. Jitahd ujue chanzo na si vinginevyo kukusaidia lazima ujue ASILI ya TATIZO
Sijamkosea mtu bali mimi niko upinzani.
 
Wewe tatizi ni vicheche viwili angalau ungekuwa kicheche
Yaani vicheche hata sisi tutakutenga

Cha msingi ndugu zako ni ccm na wewe ukakimbilia chadema
Harafu unawakashifu weeee
Cha msingi rudi ccm
Hapana mkuu sijawahi wala sitashiriki siasa kabisa. Thamani ya binadamu ni kubwa zaidi ya matumbo ya watu.
 
Dawa ya kutengwa ni kufanikiwa. Ukifanikiwa hata kama baba yako alikususa utaona anajirudisha kujidai yeye ndiye baba yako.

Kwa hiyo wewe tafuta mafanikio kivyako vyako,ukifanikiwa utaona tu watu wanaanza kujinasibu "huyu ndugu yetu".
 
Ubarikiwe mkuu wanitia moyo sema sasa hata nakutafuta rizki nako kunazibwa kila dakika... hujui mambo ya serikali..
Sasa ntayapata wapi mafanikio?
 
Ubarikiwe mkuu wanitia moyo sema sasa hata nakutafuta rizki nako kunazibwa kila dakika... hujui mambo ya serikali..
Sasa ntayapata wapi mafanikio?
Kwenye mazingira yakohumo humo kunamafanikio, hata kuweza kupata mtandao huu kuongea na watuni mafanikio, kuna watu wametengwa kamawewe halafu internet hawana, hawana hata pa kuuliza maswali.
 
tatizo lako hata sisi tunaliona, hutaki kusema ni nini chanzo, umetengwa na jamii lakini si JAMII FORUMS funguka upate ushauri, usifiche sababu ya wewe kutengwa
mkuuu umesema kweli
sasa tutamsaidiaje? kama hata hatuelewi kitu? ni ajabu kabisaaaaaaaaaaaaa
 
usiposema ukweli utaishia kulalamika na kupewa pole tu. sasa hutaki kushare kilichokupata tutakusaidiaje? nenda police au mahakamani
anatusumbua akili zetu huyu. watu wawe serious kama wanataka kusaidiwa lasivyo wabaki na shida zao
 
Back
Top Bottom